Baraza la Mitihani latangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023

Ulikuwa una hamu sana, mcheki mwanao sasa
IMG-20231218-WA0132.jpg
 
Hiyo mitihani haina uzito wowote
Ni assessment ya muhimu sana kujua mtoto anaendeleaje. Kama wewe ni mzazi, mwalimu au mdau mwingine wa elimu utajua umuhimu wa majaribio haya.
By the way naona kama wavulana wengi wameshindwa mtihani huu wa majaribio. Ebu angalia hapa https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/ftna/FTNA2023/S0851.htm
Then chukua hatua. Asilimia 96 ya waliopata zero na wanahitajiwa kurudia darasa kwa shule husika ni wavulana. Wasichana inawezekana mfumo unawasaidia sana na kuwaacha wavulana wakitoroka shule kwenda kuendesha bodaboda
 
Wazee Physics imegaragaza sana vijana kuliko hata hesabu

Darasa la nne kingereza kimewagaragaza vibaya mno st kayumba
 
Wazee Physics imegaragaza sana vijana kuliko hata hesabu

Darasa la nne kingereza kimewagaragaza vibaya mno st kayumba
Physics ina namna ngumu sana katika ufundishaji na ujibuji pia.....
Vitu ambavyo mtoto anasoma na anavyo kutana navyo ni tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom