Mapenzi kidonda

wiki nzima nilikuwa nashinda kariakoo natafuta nguo, hata mwezi haujaisha wataka vunja ndoa, ujue kuna mashosti wanasubiri yakushinde waingie? rudisha moyo, mpe miezi sita tu huyo ananyooka.

navokwambia yamenishinda niamini tu
 
Back
Top Bottom