Nimepata kidonda Kichwani baada ya kunyoa nywele

Baba Kaila10

Member
Aug 31, 2023
6
13
Habari wadau hope mko salama,

Nina kidonda kichwani nilikipata kwenye barbershop nimejaribu kutumia dawa haviishi kinakauka leo kesho tena maji maji naweza Pata msaada wowote.

Ahsante sana
 
Back
Top Bottom