Mapenzi kidonda

Ibada ya leo ilikuwa nzuri kweli... At least mchungaji kaongea kuhusu maisha ya kawaida. Sio kila siku OKOKA OKOKA OKOKA.... Njoo kanisani wakuombee.
 
Mamito! Hebu jenga kituo cha basi hapo,kiwe na kivuli, viti vya rangirangi na viglasi vya fresh juice uone kama atanyanyua mguu hapo!mtaaluma kongosho atakufundisha jinsi ya kufunga mguu wake kwenye tendegu la kiti ama meza!
kumbe sikuwa saizi yake keshazoea wa kupita na kujiegesha wakati mimi nilikua serious nae akaniweka kundini chaa tupa kuleee
 
Mabibi harusi wengine ni wa kufinya na kisu cha mkate! Akikuona unakula raha anadhani lelemama! Anajua supu ya maini kweli huyu? Kha!

jamani mbona una jazba tena?hujui yalonikuta,utanionea huruma.Acha kina mama mchungaji wachukue nafasi lol
 
Mamito! Hebu jenga kituo cha basi hapo,kiwe na kivuli, viti vya rangirangi na viglasi vya fresh juice uone kama atanyanyua mguu hapo!mtaaluma kongosho atakufundisha jinsi ya kufunga mguu wake kwenye tendegu la kiti ama meza!

hilo funza itabidi nikishampata mwingine sasa,huyu hata umbebe mgongoni wala habadiliki
 
Pole mrembo, ktk mapenzi tunafanya random selection. Hauna uhakika wa utakaye mpata kuwa ni sahihi au la.

Si kila mwanaume ana fiti kwa kila mwanamke na kinyume chake. Unachopaswa kufanya ni usikate tamaa. Jaribu tena na tena mwisho utampata wa kwako.

Hayo maumivu unayapata kwakuwa ulijiaminisha kuwa huyo ni wa kwako!. Futa kabisa hayo mawazo. Mapenzi ni trial and error, ukipatia poa kama ni kapi unatupa kapuni unachagua tena.
 
ahsante mzee kwa maneno yako ya busara umenisaidia sana,kweli ukubwa dawa
 
Yani ungejua zile kope nilizobandika siku ile zilikua za husninyo, kokoko za ashadii, hereni za sweetlady, perfume ya kongosho! Najuuta!
jamani mbona una jazba tena?hujui yalonikuta,utanionea huruma.Acha kina mama mchungaji wachukue nafasi lol
 
Kulea kazi hasa kinapokuwa kibabu kilichopinda, huwa havijifunzi hivi maana huamini vinajua yote sembuse kijana huyo?!

Wambeba kwenda bafuni weye?
Wammwandalia maji ya kuoga ya kibara au pwani?
Wampelekea kigoda bafuni weye?
Wajua kazi ya mchanga wa pwani na kisosi?

Hapo ni kuoga tu! Bado mlo na haki yake ya usiku

Ukiingia kwenye fani bibie shurti uwe umedhamiria

Sio mambo yenu ya kina rihana wamletea mzee chakula mzee, chipsi za gengeni? Tena kwenye mfuko wa rambo?

jamani ntaanza toa twisheni kidogo.

Mamito! Hebu jenga kituo cha basi hapo,kiwe na kivuli, viti vya rangirangi na viglasi vya fresh juice uone kama atanyanyua mguu hapo!mtaaluma kongosho atakufundisha jinsi ya kufunga mguu wake kwenye tendegu la kiti ama meza!
 
wiki nzima nilikuwa nashinda kariakoo natafuta nguo, hata mwezi haujaisha wataka vunja ndoa, ujue kuna mashosti wanasubiri yakushinde waingie? rudisha moyo, mpe miezi sita tu huyo ananyooka.

Yani ungejua zile kope nilizobandika siku ile zilikua za husninyo, kokoko za ashadii, hereni za sweetlady, perfume ya kongosho! Najuuta!
 
Kulea kazi hasa kinapokuwa kibabu kilichopinda, huwa havijifunzi hivi maana huamini vinajua yote sembuse kijana huyo?!

Wambeba kwenda bafuni weye?
Wammwandalia maji ya kuoga ya kibara au pwani?
Wampelekea kigoda bafuni weye?
Wajua kazi ya mchanga wa pwani na kisosi?

Hapo ni kuoga tu! Bado mlo na haki yake ya usiku

Ukiingia kwenye fani bibie shurti uwe umedhamiria

Sio mambo yenu ya kina rihana wamletea mzee chakula mzee, chipsi za gengeni? Tena kwenye mfuko wa rambo?

jamani ntaanza toa twisheni kidogo.

kafanyiwa yote hayo na bado kwa wengine kaenda
 
Back
Top Bottom