Mkuu pole kwa kukata suna kuondoa govinda ninakupa dawa itakayoweza kukusaidia kupona na ukipona lete mrejesho hapa hapa tena. Safisha hicho kidonda chako kwa maji ya uvuguvugu kisha kausha kiwe kikavu kwa taulo safi kisha pakaa Asali asubuhi na jioni kwa siku 7 utapona kidonda chako hakikisha upate asali safi haija chakachuliwa. Au upate Mu-Alovera aka Mshubiri jani lake kamuwa upate utomvu wake uwe unajipakaa sehemu yanye kidonda asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 mpaka siku 14 utapona kabla hujafikisha hizo siku.Uguwa pole.Baada ya tohara nyuzi zimeachia na kumekua na kidonda kuzunguka uume nitumie dawa gani kuweka uume wangu sawa?
shukuru San nilitumia utomvu wa mu aloveraMkuu pole kwa kukata suna kuondoa govinda ninakupa dawa itakayoweza kukusaidia kupona na ukipona lete mrejesho hapa hapa tena. Safisha hicho kidonda chako kwa maji ya uvuguvugu kisha kausha kiwe kikavu kwa taulo safi kisha pakaa Asali asubuhi na jioni kwa siku 7 utapona kidonda chako hakikisha upate asali safi haija chakachuliwa. Au upate Mu-Alovera aka Mshubiri jani lake kamuwa upate utomvu wake uwe unajipakaa sehemu yanye kidonda asubuhi na jioni kwa mud
Nashukur ndan ya siku kumi kiliunga nakupona kbs nilitumia mu aloveraMkuu pole kwa kukata suna kuondoa govinda ninakupa dawa itakayoweza kukusaidia kupona na ukipona lete mrejesho hapa hapa tena. Safisha hicho kidonda chako kwa maji ya uvuguvugu kisha kausha kiwe kikavu kwa taulo safi kisha pakaa Asali asubuhi na jioni kwa siku 7 utapona kidonda chako hakikisha upate asali safi haija chakachuliwa. Au upate Mu-Alovera aka Mshubiri jani lake kamuwa upate utomvu wake uwe unajipakaa sehemu yanye kidonda asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 mpaka siku 14 utapona kabla hujafikisha hizo siku.Uguwa pole.
Umeondoa govi ukiwa mkubwa aiseee.. bila shaka ulifaidi sana ungaBaada ya tohara nyuzi zimeachia na kumekua na kidonda kuzunguka uume nitumie dawa gani kuweka uume wangu sawa?
Haaahaaa, au awe anafungua friji kama lipo anaelekezea ndani ipigwe na ubaridiPole
Acha kuishtua hautapona ujue
Maambukizi wahi hospital.. Uume unaweza kulika mpaka ukakatikaBaada ya tohara nyuzi zimeachia na kumekua na kidonda kuzunguka uume nitumie dawa gani kuweka uume wangu sawa?