Mapenzi kidonda

kumbe umepata stress kwa mtu wako,sasa yanini kunifananisha na kunitukana PM
 
Kweli bila KIDONDA hakuna mapenzi.

Kila mtu anataka kidonda ambacho hakiponi.
 
Mara hii excellent keshaanza kuwa failure! Ngoja husn atoke kilabuni akuelekeze kwa mganga wake wa bagamoyo. Andaa 2M tu
 
388260_1991528762863_1682707865_1424939_1470976712_n.jpg
 
Aje nimwelekeze jinsi ya kulea, wala hana haja ya mganga.

kupendwa rahaaa, hasa mtu mwenyewe anapokuwa anakulilia.

Mara hii excellent keshaanza kuwa failure! Ngoja husn atoke kilabuni akuelekeze kwa mganga wake wa bagamoyo. Andaa 2M tu
 
Haiwezekani arudi mara hii, nilivyokuwa na shughulika mara mapambo mara ukumbi?! Hakuna kurudi kirahisi ivi.

Yaani kujilipuia kote kule u give up so easily! No way. Utaturudishia makofi na vigelegele tulivyokupigia ulipofunguka! Kha!
 
Haiwezekani arudi mara hii, nilivyokuwa na shughulika mara mapambo mara ukumbi?! Hakuna kurudi kirahisi ivi.

kumbe sikuwa saizi yake keshazoea wa kupita na kujiegesha wakati mimi nilikua serious nae akaniweka kundini chaa tupa kuleee
 
Mabibi harusi wengine ni wa kufinya na kisu cha mkate! Akikuona unakula raha anadhani lelemama! Anajua supu ya maini kweli huyu? Kha!
Haiwezekani arudi mara hii, nilivyokuwa na shughulika mara mapambo mara ukumbi?! Hakuna kurudi kirahisi ivi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom