Msaada: Nateseka na kidonda mdomoni

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
Nina kidonda mdomoni pale mwisho wa meno ndani upande wa pili mpaka kutafuna nyama natafunia kulia.

Naomba dawa niliambiwa nisukutue na chumvi ila wapi, kinauma balaa.

Natanguliza shukrani.
 
Punguza mirungi,punguza sigara,punguza sukari,punguza pombe,punguza nyama,punguza madawa ya kulevya ,punguza kuongea ccm ikujali.

Nenda hospitali na hakikisha nayo kwambia unayafanya sababu meno hakuna sehemu yana maandiko kama kataa uzizi
 
Kaka mbona kama unampinga mdogo wako kwenye hili .mdogo wako mwana sana
 
Acha kupoteza muda... nunua mouthwash usukutue uteme ulale, utaamka huna maumivu. Kesho pia endeleza matumizi ya Mouthwash kidonda kitapotea
 
Hivi fizi ya upande mmoja kutoa damu wakati wa kuswaki tatizo hili naweza kutibu vipi. Linanitesa almost 10 years know
 
Back
Top Bottom