leh
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 827
- 363
Sikushauri Hp au Compaq ni delicate sana hiz dude nimekoma kuzitumia hata ukienda kwa mafundi ndo zimejaa
Acer,Dell,Toshiba zinagangamala
Apple ....
list
1.Apple(mac book pro or macbook Air)
2.Hp g60 au Dv6
3.Asus EE.
zilizobaki ushenzi mtupu!
make sure zina support from Intel or Apple, coz wanaproduce vifaa vya uhakika
Mkuu Laptop nzuri kwa sasa ni ASUS from USA,i5,ina CD ROM,HDD 640,RAM 600 BADALA YA 500,Inshort ni Laptop moja nzuri sana,wakati nahitaji nilishauriwa na mtu mmoja ambaye ni mtaalamu wa haya mambo na nimeinunua nzuri sana.
Kuna moja inaitwa dell XPS nayo ni noma sana iko poa sana. Ila katika matumizi yangu ya computer za dell hasa inspiron nimegundua zina tatizo ya kuharibika DVD rom. Compaq Fan pia
niwakosoe kwanza kabla sijatoa mawazo yangu. hamna aina ya brand ya laptops iko poa kuliko nyingine. sababu: casing tu ndo zinatofautiana, ndani mambo ni yale yale. iwe ni HP, iwe apple, iwe DELL, iwe Acer, hamna mtengenezaji wa RAM, motherboard, processor, screen au hata harddisk hapo. wanachofanya wao ni kazi ya kuunganisha products na kufunga casing. hata hizo usb ports, hdmi au video cards hawatengenezi.
ila sasa, kuna utofauti wa laptops, na hii inategemeana na ilitengenezwa ya kivipi.
i) ultrabooks (hizi ndo the best and most expensive, mfano ni macbook pro na HP envy series),
ii) desktop replacement laptops (hizi ni laptop kubwa screen and weight, third most expensive na zina ma expansion slot balaa mfano mzuri ni DELL alienware na HP DV Series),
iii) business laptops (za kawaida ila bei expensive kidogo, mfano kama ya kwangu HP DM4),
iv) student laptops (poor processors, ni za kusurf na kuandika notes, bei poa kabisa),
v) gaming laptops (alienware inakuja hapa tena, hizi laptops pia ni very very expensive, zina vga na processors za hatari, za wapenzi wa game) na finally, the most common brand,
vi) budget laptops (budget laptops ni za mtu ambaye hana hela refu wala mpango mkubwa na laptop. they are cheap, made of plastic and die easily)
kama laptop yako haina resolution kali, ni ya plastic na haina vga card, ni budget laptop, huwezi mlaumu manufacturer ni kuitengeneza vibaya, alibana ili iuzwe che. kingine, na hii inawahusu akina Kimox Kimokole na NingaR, siwezi jua urefu wa mifuko yenu, ila sioni sababu ya kununua laptop iliyozidi $600. laptops ni nzuri lakini kama unataka kufanyia kazi computer, desktops are the way to go. nikianza kutofautisha ubora wa laptops na desktops hapa, nitakesha, ila ninachojua mie ni kuwa usiwe na laptop iliyozidi desktop yako bei.
mawazo yangu tu leh
Last edited by a moderator: