Maoni Yako: Laptop gani bora kuliko nyingine?

Mkuu.NingaR kwa model uliyokuwa unataka ya ( Intel i5 na 15.6" display) hiyo ndio bei Rahisi huku nilipo zilizobakia zote zina anzia Dollar 1300 na kuendelea juu. La kama unataka za kizamani Model ya ASUS

Intel Pentium Processor unaweza kupata kwa Dolla 100 au chini yake hapo lakini hazina mpango wakati Watu wanakwenda juu wewe unakwenda chini kwa sababu gani? ASUS Intel Pentium Processor zimesha pitwa na wakati

Mkuu ukiwa teyari nitumie Barua ya Pepe nitaweza kukusaidia kwa kila hali nitakutumia kwa njia ya kago na itakufikia kwa haraka iwezekanavyo Laptop yako Email yangu ni hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Mkuu MziziMkavu mimi nataka apple ya ukweli Hebu nimwagie specs na bei zake
 
Last edited by a moderator:
Mkuu NingaR Asus kitu hicho ............. Asus N56VM-RB71 Laptop, Intel Core i7-3610QM 2.3 GHz, 8GB Ram, 15.6 FHD Screen, NVIDIA GT 630M 2GB graphics, 750GB HDD, DVD Burner, Windows 7 Home Premium
21xaKqgZI2L._SL500_AA300_.jpg


Product Features
3rd generation Intel Core i7-3610QM Quad Processor 2.3GHz, Color: Black Aluminum
8GB Shared Dual Channel DDR3 Memory, 750GB 7200 RPM Hard Drives
NVIDIA GeForce GT 630M 2GB graphics, DVD/CD Burner (Reads and Writes to DVD/CD)
15.6in HD LED Screen (1366x768), 6-cell Lithium Ion Primary Battery, Backlit Chiclet Keyboard with number key pad
Genuine Windows 7 Home Premium 64bit, 802.11 b/g/n, Bluetooth 4.0 , Integrated 10/100/1000 Network Card

Product Information


Screen Size 15.6 inches
Processor Intel Core i7
RAM 8 GB
Hard Drive 750 GB
Graphics Card Ram Size 2000 MB
Expand
Other Technical Details
Brand Name Dell
Item model number N56VM-RB71
Hardware Platform PC
Processor Brand Intel
Computer Memory Type DDR3 SDRAM
Hard Drive Interface Serial ATA
31It90JpnqL.jpg
3146Rf6C7GL.jpg



Bei yake ni Dola1700 ukihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

mziziiiiiiiiiiii na few good man ila hizo features zake zimenikosha balaa ila salio ndio hatariiii 1700 sio mchezo....
 
Last edited by a moderator:
MaxA-280-100.jpg

delldsc05074.jpg

Max2-280-100.jpg

Dell-XPS-14z-Slim-Notebook-with-Internal-Optical-Drive.jpg

hii ndo xps laptop ya dell, ina features za ukweli balaaa. Sema mimi si mpenzi wa dell
 
tunataka na bei sio jina na picha tu.
halafu ni Dell XPS ipi maana ziko zaidi ya moja

Haya ni hii
XPS 14
ina Intel Core
i7-35178u processor, a 5400-rpm, ram 4GB upgraded upto 8GB, 2.4GHz, 500GB hard
drive with startup assistance from a 32GB
mSATA solid-state caching drive, Intel’s HD Graphics 3000, and the 64-
bit version of Windows 7 Home Premium, goes for a somewhat pricey $1500.
 
Haya ni hii
XPS 14
ina Intel Core
i7-35178u processor, a 5400-rpm, ram 4GB upgraded upto 8GB, 2.4GHz, 500GB hard
drive with startup assistance from a 32GB
mSATA solid-state caching drive, Intel’s HD Graphics 3000, and the 64-
bit version of Windows 7 Home Premium, goes for a somewhat pricey $1500.

Kweli vizuri gharama!
 
mziziiiiiiiiiiii na few good man ila hizo features zake zimenikosha balaa ila salio ndio hatariiii 1700 sio mchezo....
Pesa yake hiyo imekwenda na gharama ya usafirishaji toka nilipo kuja huko kwako ndio maana ikawa bei hiyo bei yake hiyo Laptop ni Dola1500 na hiyo dola 200 ni bei ya usafirishaji wa kago si unajuwa itakuja kwa njia ya ndege?na ukiinunuwa ina Warranty yake ya miaka 2 ikiharşbika kabla ya muda wake kuisha unairudisha na wanakutengenezea bure pasipo na malipo mkuu ndetichia kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza.
 
Last edited by a moderator:
Zote hizozilizotajwa hapo juu ni cha mtoto. Laptop ninazoziaminia ni PANASONIC TOUGHBOOK. hazina cha kuogopa vumbi wala maji au hata kuanguka. inapiga kazi kwenye mazingira yote.
 
hiviiiiiiii,hiyo mibei mnayoweka, humo ndani ya hizo laptops kuna mijakuz nikitaka kuogelea naoga auuuu,kwanza hyo mispecification mnayoitaja mengi ni za milaptp ya viwandani tena vinavyotumia tech ya hali ya juu sana ili kuleta ufanisi wa kazi,sa kwa matumiz ya kawaida mi laptp lenye ram gb 8 la nn,ram gb 2 tu standard,chukua kitu cha acer,kinakaa na chaji balaaaaaaa
 
Back
Top Bottom