Unaponunua laptop iliyotumika fanya hivi kupima battery inakaa muda gani, usitegemee kauli mali

Start-Menu

Member
Sep 10, 2023
12
63
Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana.

Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu “Battery ipo fresh” ila ukianza kuitumia mashine unajionea uhalisia battery inakaa nusu saa tu kwisha habari.

Kujua namna ya kupata makadirio ya battery inakaa muda gani fanya hivi.

1. Minya start kisha andika cmd, fungua command prompt

2. Andika cd desktop alafu minya enter.

3. Andika powercfg /batteryreport alafu minya enter.

4. Nenda kwenye desktop utaona file limeandikwa power cfg/battery report

5. Fungua file

6. Shuka mwisho kabisa kuna sehemu imeandika Since Os Install, angalia muda wa upande wa kushoto ndio makadirio ya muda ambao battery itakaa, (upande wa kulia ni makadirio laptop ilivyokua mpya, ni wachache sana wanaweza kununua laptop mpya, wengi hununua refurbished / mitumba)

Mfano hapa kwenye pc yangu imeandika 3:09:50, ni kwamba nkiichaji full, makadirio ya wastani naweza kuitumia mashine kwa masaa matatu, dakika 9 na sekunde 50.

1696009346417.png
 
6. Shuka mwisho kabisa kuna sehemu imeandika Since Os Install, angalia muda wa upande wa kushoto ndio makadirio ya muda ambao battery itakaa, upande wa kulia ni kwa wale wanaonunua laptop mpya iliyotoka kiwandani haijawahi tumika.

Mfano hapa kwenye pc yangu imeandika 3:09:50, ni kwamba nkiichaji full, makadirio ya wastani naweza kuitumia mashine kwa masaa matatu, dakika 9 na sekunde 50.
View attachment 2766596
Very useful thead
 
Watu kama nyie ndo mnahitajika muwe mnaanzisha nyuzi nyingi Jamiiforum.
 
Safi sana hii taarifa
 
Ukinunua laptop au simu used ni vizuri ukaweka battery mpya kama unataka ikae na chaji muda mrefu
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Na hii katikakatika ya umeme wauzaji janjajanja watasingizia tatizo la umeme ili tushindwe kutest
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana.

Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu “Battery ipo fresh” ila ukianza kuitumia mashine unajionea uhalisia battery inakaa nusu saa tu kwisha habari.

Kujua namna ya kupata makadirio ya battery inakaa muda gani fanya hivi.

1. Minya start kisha andika cmd, fungua command prompt

2. Andika cd desktop alafu minya enter.

3. Andika powercfg /batteryreport alafu minya enter.

4. Nenda kwenye desktop utaona file limeandikwa power cfg/battery report

5. Fungua file

6. Shuka mwisho kabisa kuna sehemu imeandika Since Os Install, angalia muda wa upande wa kushoto ndio makadirio ya muda ambao battery itakaa, (upande wa kulia ni makadirio laptop ilivyokua mpya, ni wachache sana wanaweza kununua laptop mpya, wengi hununua refurbished / mitumba)

Mfano hapa kwenye pc yangu imeandika 3:09:50, ni kwamba nkiichaji full, makadirio ya wastani naweza kuitumia mashine kwa masaa matatu, dakika 9 na sekunde 50.

View attachment 2766596
Unawez kunielezea vizuri huu muda ulokuwa upande wa kulia una maaana gani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom