Maoni Yako: Laptop gani bora kuliko nyingine?

ASUS X53E
Processor:Intel core i5 2.4GHZ
RAM:6GB
HDD:640
Screen:15.6"
OS:WIN7HP
Bei iliyowekwa kwenye kipeperushi ni laki 8 na 40.
Mahali ni Freedom Communication, Samora Avenue Harbour View Towers (zamani JM Mall)
 
Mkuu NingaR Asus kitu hicho ............. Asus N56VM-RB71 Laptop, Intel Core i7-3610QM 2.3 GHz, 8GB Ram, 15.6 FHD Screen, NVIDIA GT 630M 2GB graphics, 750GB HDD, DVD Burner, Windows 7 Home Premium

21xaKqgZI2L._SL500_AA300_.jpg

Product Features
3rd generation Intel Core i7-3610QM Quad Processor 2.3GHz, Color: Black Aluminum
8GB Shared Dual Channel DDR3 Memory, 750GB 7200 RPM Hard Drives
NVIDIA GeForce GT 630M 2GB graphics, DVD/CD Burner (Reads and Writes to DVD/CD)
15.6in HD LED Screen (1366x768), 6-cell Lithium Ion Primary Battery, Backlit Chiclet Keyboard with number key pad
Genuine Windows 7 Home Premium 64bit, 802.11 b/g/n, Bluetooth 4.0 , Integrated 10/100/1000 Network Card

Product Information

Screen Size 15.6 inches
Processor Intel Core i7
RAM 8 GB
Hard Drive 750 GB
Graphics Card Ram Size 2000 MB
Expand
Other Technical Details
Brand Name Dell
Item model number N56VM-RB71
Hardware Platform PC
Processor Brand Intel
Computer Memory Type DDR3 SDRAM
Hard Drive Interface Serial ATA
31It90JpnqL.jpg
3146Rf6C7GL.jpg

Bei yake ni Dola1700 ukihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
MziziMkavu nahitaji hii kitu niitwange Apple OS Lion
 
Last edited by a moderator:
that's what am talking about, wacha najichangechange nikutafute
Mkuu.NingaR kwa model uliyokuwa unataka ya ( Intel i5 na 15.6" display) hiyo ndio bei Rahisi huku nilipo zilizobakia zote zina anzia Dollar 1300 na kuendelea juu. La kama unataka za kizamani Model ya ASUS

Intel Pentium Processor unaweza kupata kwa Dolla 100 au chini yake hapo lakini hazina mpango wakati Watu wanakwenda juu wewe unakwenda chini kwa sababu gani? ASUS Intel Pentium Processor zimesha pitwa na wakati

Mkuu ukiwa teyari nitumie Barua ya Pepe nitaweza kukusaidia kwa kila hali nitakutumia kwa njia ya kago na itakufikia kwa haraka iwezekanavyo Laptop yako Email yangu ni hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Intel® Core™ i7-2620M (2.70 / 3.40GHz)
Genuine Windows® 7 Professional 64-bit Features: 13.3" LED backlit display, 6GB RAM, 500GB (7200rpm) HDD, CD/DVD
player/burner, AMD graphics (1GB VRAM),
HDMI™ out
VPCSB1AGXB.png

F_Gray_-_Hero_(Front_Right)_copy_610x426.jpg

272956.jpg

Unaweza ipata kuanzia USD 1500 hadi 1800
 
MziziMkavu nahitaji hii kitu niitwange Apple OS Lion
Mkuu Kimox Kimokole hii Asus N56VM-RB71 Laptop kuna Dada yangu mmoja yeye ni Doctor yupo Texas Amerika nilivyomfahamisha akaniambia kuwa anaitaka nikawailiana nae akanunuwa sasa anaitumia hiyo Laptop kwa Apple OS Lion itakubali bila ya matatizo ukiwa teyari wasiliana na mimi nitakutumia Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.NingaR kwa model uliyokuwa unataka ya ( Intel i5 na 15.6" display) hiyo ndio bei Rahisi huku nilipo zilizobakia zote zina anzia Dollar 1300 na kuendelea juu. La kama unataka za kizamani Model ya ASUS

Intel Pentium Processor unaweza kupata kwa Dolla 100 au chini yake hapo lakini hazina mpango wakati Watu wanakwenda juu wewe unakwenda chini kwa sababu gani? ASUS Intel Pentium Processor zimesha pitwa na wakati

Mkuu ukiwa teyari nitumie Barua ya Pepe nitaweza kukusaidia kwa kila hali nitakutumia kwa njia ya kago na itakufikia kwa haraka iwezekanavyo Laptop yako Email yangu ni hii hapa fewgoodman@hotmail.com

tayari nimesha weka your E-mail kene my contact list ntaku email ASAP nitakapo kua fit economically, kwani mkuu uko mitaa ya wapi??
 
Kuna moja inaitwa dell XPS nayo ni noma sana iko poa sana. Ila katika matumizi yangu ya computer za dell hasa inspiron nimegundua zina tatizo ya kuharibika DVD rom. Compaq Fan pia
 
Kuna moja inaitwa dell XPS nayo ni noma sana iko poa sana. Ila katika matumizi yangu ya computer za dell hasa inspiron nimegundua zina tatizo ya kuharibika DVD rom. Compaq Fan pia

Vipi kuhusu Dell Latitude??
 
uuuhh kweli najihisi kuchoka wakuu hapo mlipo baada ya mwaka ndo nitaanza kufikiria kuhusu hayo mavitu mliyoandika hapo. Naombeni niwasumbue ukweli nina Tsh. 500;000 nitapata kitu cha ukweli??

Je kwa hiyo bei nitapata ya aina gan either used au brand new??
 
Kuna brand inaitwa Lavono, mwenye recommendation yoyote kuhusu aina hii tafadhari nahitaji ushauri.
 
sio siri mashine imenitoa udenda tatizo ni bei(Kumbe tatizo sio bei ni hali yangu ya kiuchumi).
kwa sasa nataka nipate angalau yenye 3rd gen Intel i5, una recommend ipi mkuu?

umeona eh iyo inshu apo juu inabid uwe na upepo wa kutosha
 
umeona eh iyo inshu apo juu inabid uwe na upepo wa kutosha

Kizuri Gharama kaka, me wacha nitafute ya kujishikiza wakati navuta upepo, Price ana Dell Latitude E6510 alidaka kwa 900k, hiyo kwa kuanzia sio mbaya!
 
Kizuri Gharama kaka, me wacha nitafute ya kujishikiza wakati navuta upepo, Price ana Dell Latitude E6510 alidaka kwa 900k, hiyo kwa kuanzia sio mbaya!

akat kuna 675k dell inpiron brand new sema mi na dell hazipandi bora ningoje mkwanja nivute iyo asus tu
 
ASUS X53E
Processor:Intel core i5 2.4GHZ
RAM:6GB
HDD:640
Screen:15.6"
OS:WIN7HP
Bei iliyowekwa kwenye kipeperushi ni laki 8 na 40.
Mahali ni Freedom Communication, Samora Avenue Harbour View Towers (zamani JM Mall)

Mkuu ilonga, uko serious?!..as in is it a real deal mkuu?
 
nahitaji kununua laptop sio nyingi lakini tatizo sijajua laptop ipi ni nzur na bora kuliko nyingine.
Consideration;
Battery, Rom, Ram, webcam, etc
Please nahitaji ushauri wako..
Nawasilisha.

Mkuu nadhani

1.Apple and Asud kwa sasa ni nzuri(almost in every aspect
ila issue nu kwenye bei).

2. Dell na Acer issue iko kwenye battery, they have low
Batterylife(personal experience).

3. HP na Toshiba are fair, esp ukizingatia urahisi wa
upatikanaji wa vifaa in case ikileta shida, ingawa HP is a
little bit expensive than Toshiba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom