Maoni Yako: Laptop gani bora kuliko nyingine?

Kila nikichungulia sioni TOSHIBA yangu,ila nashukuru si mtu wa mbwembwe nyingi ndo mana inanisaidia.
 
Tatizo la hizo warranty za huko America huwa hazitumiki huku bongo. Ikiharibika ni mpaka irudishwe huko. Na wewe umeonyesha kwamba gharama za kutuma ni dola 200. Hili unalisemeaje Mkuu Mzizi?

Kwa Dell ni popote na makampuni Bongo ya Dell yapo Mengi na wanagombea kukuhudumia maana wanalipwa Dell moja kwa moja.
 
Sikushauri Hp au Compaq ni delicate sana hiz dude nimekoma kuzitumia hata ukienda kwa mafundi ndo zimejaa

Acer,Dell,Toshiba zinagangamala
sure hata mimi sina ham nazo, nilinunua nje aina ya compaq lakini ikafa betry kimagirini, kisha ikaja kushindwa kupiga vcd.
japo nashangazwa serikali yetu ndo inategemea oda za haya makampuni.?!
 
wewe unazungumzia LENOVO ya IBM ambayo ilikuwa bora kuliko hata hiyo MAC, sasa hivi LENOVO ni brand ya china kaka.
 
Tatizo sio ubora mi naona laptop nyingi ni bora kwa mfano hp dell lenovo na sony sema chamsingi NI IMETENGENEZWA KWA MATUMIZI YA AMERIKA NA ULAYA AU IMETENGENEZWA KWA MATUMIZI YA AFRIKA,laptop yoyote ni nzur kama imetengenezwa kwa ubora wa MAREKAN NA ULAYA lakin kama imetengenezwa kwa ajiya AFRIKA NICHENGA 2 HATAKAMA NI MODEL NGANI,USHAUR WANGU HANGIZA LAPTOP AMERIKA AU ULAYA ITAKUWA NZIMA SANA,MI NA2MIA HP CORE 5 NINOMA CHARGE MPAKA BASI LAKIN KUNA JAMAA KANUNUA KAMA IYO BONGO NA SPECIFICATION SAWA LAKIN CHENGA 2
 
list
1.Apple(mac book pro or macbook Air)
2.Hp g60 au Dv6
3.Asus EE.
zilizobaki ushenzi mtupu!
make sure zina support from Intel or Apple, coz wanaproduce vifaa vya uhakika

What is this mkuu?

Apple hatengenezi processor na anatoa compyuta ambazo ni Intel based.
 
Mkuu siyo kweli! Au ufafanue

kaka habari ndio hiyo!
tembela website yao utakuta kuna Branch for Home, Work, and Business na pia kuna za ma-hardwoker wale wazee wa mizigo ya uwakika, kitu kama server lakini ni laptop.

Hiyo Ispir ni ya Home na ndio maana nikakuambia ni ya kina mama yakufanyia shioping online.
 
[h=1]Most reliable laptop makers revealed[/h][h=2]Apple is most reliable laptop brand, followed by Dell, Asus and HP[/h]

Read more: Most reliable laptop makers revealed - PC Advisor

[h=2]Most reliable laptop brands: the results[/h]Apple tops the list, as might be expected from such a premium PC builder. Apple products are far from cheap, but they do offer a quality experience. Runner up Dell has a very different business model. It, like other high-ranking brands HP and Asus, operates as a volume laptop maker, selling many thousands of laptops every week. We would expect to see them, and Lenovo, high up in our list because they sell so many PCs: but their higher ranking suggests a lot of satisfied customers.

  1. Apple: 19%
  2. Dell: 12%
  3. Asus: 11%
  4. HP: 11%
  5. Acer: 9%
  6. Lenovo: 9%
  7. Toshiba: 9%
  8. Samsung: 7%
  9. Sony: 6%
  10. Alienware: 3%
  11. Fujitsu: 1%
  12. MSI: 1%
  13. Panasonic: 1%

Read more: Most reliable laptop makers revealed - PC Advisor
 
Kaka laptop inategemea function requirements zako then unakuja kweny cost unayoweza kuafford then kwa sababu ile ni device durability inafuata then what if something wrong happen maintenance ikoje ndo unadecide. Km una matumizi ya kawaida dell inakufaa km unahtaji complex machine go for sony vaio slim series iko poa kila idara. Apple ni nzuri bt ina limitation nying sana hata os zake ni left handed afu kwa user wa kawaida km sio expert inakupa shida sio nzuri kujifunzia hata maintainance zake ngumu na ghali
 
Vipi Dell Inspiron?

Hizi Brand Nyingine ni za Kinamama Kufanyia online Shopping wakiwa nyumbani, Mashine kama hiyo ukiingurumisha kwa masaa zaidi ya 12 naamini wiki tu Inakuwa chali.

Mambo iko Latitude.

Mkuu siyo kweli! Au ufafanue

kaka habari ndio hiyo!
tembela website yao utakuta kuna Branch for Home, Work, and Business na pia kuna za ma-hardwoker wale wazee wa mizigo ya uwakika, kitu kama server lakini ni laptop.

Hiyo Ispir ni ya Home na ndio maana nikakuambia ni ya kina mama yakufanyia shioping online.

Nakuheshimu Kibanga lakini angalia vizuri hapo kwenye nyekundu! Hapo ndiyo nasema siyo kweli. Nilishaitumia hiyo inspiron, hivyo nazungumza from experience! Kama nakumbuka vizuri kuna wakati nilikuwa naingurumisha hadi karibia wiki nzima bila kuizima na bado iko wima!

ila sikuinunua bongo!
 
sorry,OFF TOPIC cz nmeshndwa kusaidiwa kwenye thread yangu...nimejaribu kuunganisha laptop yangu kwenye projector kutumia cable ya VGA nipate display kwenye projector nimeshndwa...kuna kitu kingne nachotakiwa kufanya? msaada wadau
 
Nakuheshimu Kibanga lakini angalia vizuri hapo kwenye nyekundu! Hapo ndiyo nasema siyo kweli. Nilishaitumia hiyo inspiron, hivyo nazungumza from experience! Kama nakumbuka vizuri kuna wakati nilikuwa naingurumisha hadi karibia wiki nzima bila kuizima na bado iko wima!

ila sikuinunua bongo!

nadhani hatuna haja ya kubishana, ila ukweli ni kuwa hiyo Brannd ni ya Dell kwa Ajili ya Home use, kuitumia kwa kazi na biashara na mambo yetu ya kisayansi ni kuitesa tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom