Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 383
- 347
Nilikuwa katika mipango ya mwisho ili niweze kulipia simu ebay (Nexus 5x) kwa thamani ya 300$ (shipping included) baada ya seller kuniambia ana ship kwa fedex international priority ikabidi niwapigie watu wa Fedex Tz waweze kunijulisha gharama ambazo mi nitalipa ili niweze kuchukua mzigo wangu
Haya ndo majibu yao
Nitalipa VAT 18%=54$
Nitamlipa clearing agent TSH 168,000/=
Custom duty 10% ya mzigo=30$
Gharama jumla inakuja approx..= TSH 350,000/
Kwa ujumla gharama za ku clear mzigo ni 50% ya thamani ya mzigo.
Imebidi tu nighairi nikaitafute simu kariakoo