🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
103
388
1666183896514.png

Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,..
.
Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na watoto so baada ya kuvuta machine, sector ya wabebez + maji ika speed up reaction hasa upande wa wabebez...
.
Weekend moja rafiki ake Boni mida ya saa 9 alasiri alimuita Boni aje Waswanu Pub maeneo ya Uzunguni kupiga maji Rafiki ake ni wale jamaa maji yakishaanza kukolea simu zinakua nyingi kwa wadau na Boni by the time anapigiwa simu alikua na mpenzi wake home wamechil tu..
.
1666184123092.png
1666184136576.png

.
So Boni akaona ni time nzuri ya kutoka na bibie out angalau bibie nae ale good time na wapige mdudu aka chair fire basi Boni na manzi wake wakajianda wakawasha machine then chap wakafika Waswanu..
.
Kufika pale wakakuta mshikaji pia yuko na mpenzi wake wanapiga kilaji so wakawa wanne., Boni na bibie nao wakaanza kupiga maji wakati wanasubiri mdudu..
.
Basi maji yakapigwa na mdudu akapigwa kufikia jioni flani maji yakaanza kuzidi unga Kama ilivyo ada maji yakizidi unga ugali unaanza kuwa uji taratibu, so maji yalivyokolea Boni akatoa wazo wahamie Bambalaga..
.
1666184287119.png
1666184313510.png

.
Bambalaga iko maeneo ya Kisasa na akadai ndo kuna vibe zaidi, Halafu ukiwa maji chuma imepark nje huwa kuna ka kihere here flani ka kuhama kiwanja. Utasikia hapa pamepoa sana twende sehemu flani ndo kuna shangwe la kutosha, Basi Jamaa wakaamua kuhamia Bambalaga..
.
Mshikaji wake Boni alikua na Subaru Impreza akaingia kwa gari akatia reverse akatoka parking akachomoka kama mshale, Manzi wa Boni kuona vile akasema huyu rafiki ako nae anapenda kukuoshea, Boni kusikia hivi + akili za maji nae akatoka kama mshale lengo ampite Jamaa ake..
.
1666184412386.png
1666184500933.png

.
Na alifanikiwa kumpita sema baada ya kumpita Jamaa ake nae akakanyaga ile anataka kuovertake Boni akampa Bodi Jamaa akala upande wa nyuma mlangoni kote kioo kikapasuka na mlango ukobondeka, Impreza bumper chali, condenser na radiator pia zimeguswa na taa upande wa kushoto..
.
Wakaweka gari pembeni kuangalia Mazda mlango na buti kulia na taa havifai, Kama ilivyo ada Boni maji yakaanza kupungua wakati unga unaongezeka akili zikaanza kurudi. Basi Trafiki police wakaja pale + kuita Brake down lao ila wakagundua jamaa wako maji ndio ila wameamua kumalizana wenyewe..
.
Hafu ni wasirikali wakaona hamna issue hapa Trafiki wakajikataa, Sasa impreza sababu ya radiator kuguswa ikavutwa na Mazda mpaka nyumbani. Safari ya Bambalaga ikaishia hapo, kesho yake Boni akapeleka gari kwa fundi ifanyiwe marekebisho.. . Hapa ndo picha halisi likaanza sasa..
.
1666184654159.png
1666184666943.png

.
Mind you gari haikua insured so taa zikatafutwa Dodoma hola. Zikapatikana Dar pale tena Tandale kwa tumbo kwa wakata magari Bei mkasi Kuhusu body fundi akasema anaweza rekebisha body ila mlango hawezi lazima uje mwingine apachike. Tafuta mlango Dodoma hola, wakahamia Dar..
.
Dar nae pia hola hamna kitu Boni akaona isiwe Kesi tuufate Japan, Japan ile kugusa tu ni kama Parachichi moshi mlango upo ni wewe tu na Pesa yako. Mlango Japan wakakuta bei ni $61, Shipping $100 so $161 = Tsh 376,740 mapaka unafika bandarini, Boni akalipa mlango ukaja..
.
1666184836469.png
1666184852613.png

.
Ulivyofika bandarini Tiarehei wakasema kodi ni Tsh 239,993. Hawajakaa sawa wakaona haitoshi wakaongeza additional ya Tsh 14,843 na Wharfage 8,756 Jumla 263,592, Wazee wa TBS nao hawakua nyuma wakasema lazima tuukague wakaleta invoice ya Tsh 30,000,

1666184934250.png
1666184952957.png

1666184983948.png
1666185012317.png

Bandari Kavu nao mzigo Ulipofikia na kutuzwa nao wakadai Tsh 129,385, Jumla ya gharama zote ikawa 799,717.. . Agent nae aliyefanya clearance akaja hapa akabil 150,000 Jumla ikawa 949,717, Mzigo ukatoka ukapelekwa Pale Shekilango ili utumwe Dodoma na pale wakadai 20,000 Jumla kuu ikawa 969,717..
.
1666185081315.png
1666185473346.png

.
Sasa huu ni mlango mmoja tu ingekua zaidi unaweza geuza gari banda la kuku, Ingekua kama IST na ndugu zake hapa mlango ungepatika ilala kwa 350,000 - 500,000, Au ukienda kwa wakata magari pale Tandale kwa tumbo unaweza pata hadi kwa Tsh 200,000-300,000 au chini zaidi..
.
1666186171601.png
1666186188431.png
1666186214557.png
1666186235939.png

.
Sasa lengo la kukupa hii story ni kukupa ufahamu ili wakati unataka gari uwe makini na chaguzi zako. Usije ingia mkenge ukaja ukapasuka mbele ya safari ndugu, Najua dunia ni kijiji ila always nasema kuagiza baadhi ya spear au body parts sio sawa na kununua hapa nchini..
.
Kuna vitu lazima uwe vizuri mfukoni tofauti na hapo utaumia, Kuna brands za gari kama uchumi wako bado ni wa kutumia ARV sio za kununua zitakutesa tu. Kama unahitaji ushauri karibu tutakupa ushauri mzuri tu ili ukusaidie kufanya maamuzi sahihi kutokana na kipato chako..
.
Kama unahitaji kuagiza gari Japan , kununua showroom au mkononi karibu, Tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore etc dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa bei safi, Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi salama na unaojali muda wako..
.
1666186345235.png
1666186355369.png

.
Simply tupigie simu njoo WhatsApp au ofisini Posta Mpya Phoenix House mkabala na Mkapa tower tutaku assist Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice..
.
1666186499810.png
1666186519701.png
1666186542491.png

.
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo, Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kushare kwa ajili ya wengine na Kama hujatu follow katika kurasa zetu za jamii tu follow chap ili next time usipitwe na madini..
.
Asante
Samatime
0714547598
 
Mkuu mtu kati ya machaguo haya mawili utamshauri lipi?
1.Toyota Premio F ya 2005
2.Toyota Corolla axio 2008

Engine ni ya < or = C.c 1500
 
View attachment 2391963

Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,..
.
Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na watoto so baada ya kuvuta machine, sector ya wabebez + maji ika speed up reaction hasa upande wa wabebez...
.
Weekend moja rafiki ake Boni mida ya saa 9 alasiri alimuita Boni aje Waswanu Pub maeneo ya Uzunguni kupiga maji Rafiki ake ni wale jamaa maji yakishaanza kukolea simu zinakua nyingi kwa wadau na Boni by the time anapigiwa simu alikua na mpenzi wake home wamechil tu..
.
View attachment 2391967View attachment 2391968
.
So Boni akaona ni time nzuri ya kutoka na bibie out angalau bibie nae ale good time na wapige mdudu aka chair fire basi Boni na manzi wake wakajianda wakawasha machine then chap wakafika Waswanu..
.
Kufika pale wakakuta mshikaji pia yuko na mpenzi wake wanapiga kilaji so wakawa wanne., Boni na bibie nao wakaanza kupiga maji wakati wanasubiri mdudu..
.
Basi maji yakapigwa na mdudu akapigwa kufikia jioni flani maji yakaanza kuzidi unga Kama ilivyo ada maji yakizidi unga ugali unaanza kuwa uji taratibu, so maji yalivyokolea Boni akatoa wazo wahamie Bambalaga..
.
View attachment 2391970View attachment 2391971
.
Bambalaga iko maeneo ya Kisasa na akadai ndo kuna vibe zaidi, Halafu ukiwa maji chuma imepark nje huwa kuna ka kihere here flani ka kuhama kiwanja. Utasikia hapa pamepoa sana twende sehemu flani ndo kuna shangwe la kutosha, Basi Jamaa wakaamua kuhamia Bambalaga..
.
Mshikaji wake Boni alikua na Subaru Impreza akaingia kwa gari akatia reverse akatoka parking akachomoka kama mshale, Manzi wa Boni kuona vile akasema huyu rafiki ako nae anapenda kukuoshea, Boni kusikia hivi + akili za maji nae akatoka kama mshale lengo ampite Jamaa ake..
.
View attachment 2391974View attachment 2391976
.
Na alifanikiwa kumpita sema baada ya kumpita Jamaa ake nae akakanyaga ile anataka kuovertake Boni akampa Bodi Jamaa akala upande wa nyuma mlangoni kote kioo kikapasuka na mlango ukobondeka, Impreza bumper chali, condenser na radiator pia zimeguswa na taa upande wa kushoto..
.
Wakaweka gari pembeni kuangalia Mazda mlango na buti kulia na taa havifai, Kama ilivyo ada Boni maji yakaanza kupungua wakati unga unaongezeka akili zikaanza kurudi. Basi Trafiki police wakaja pale + kuita Brake down lao ila wakagundua jamaa wako maji ndio ila wameamua kumalizana wenyewe..
.
Hafu ni wasirikali wakaona hamna issue hapa Trafiki wakajikataa, Sasa impreza sababu ya radiator kuguswa ikavutwa na Mazda mpaka nyumbani. Safari ya Bambalaga ikaishia hapo, kesho yake Boni akapeleka gari kwa fundi ifanyiwe marekebisho.. . Hapa ndo picha halisi likaanza sasa..
.
View attachment 2391979View attachment 2391980
.
Mind you gari haikua insured so taa zikatafutwa Dodoma hola. Zikapatikana Dar pale tena Tandale kwa tumbo kwa wakata magari Bei mkasi Kuhusu body fundi akasema anaweza rekebisha body ila mlango hawezi lazima uje mwingine apachike. Tafuta mlango Dodoma hola, wakahamia Dar..
.
Dar nae pia hola hamna kitu Boni akaona isiwe Kesi tuufate Japan, Japan ile kugusa tu ni kama Parachichi moshi mlango upo ni wewe tu na Pesa yako. Mlango Japan wakakuta bei ni $61, Shipping $100 so $161 = Tsh 376,740 mapaka unafika bandarini, Boni akalipa mlango ukaja..
.
View attachment 2391982View attachment 2391983
.
Ulivyofika bandarini Tiarehei wakasema kodi ni Tsh 239,993. Hawajakaa sawa wakaona haitoshi wakaongeza additional ya Tsh 14,843 na Wharfage 8,756 Jumla 263,592, Wazee wa TBS nao hawakua nyuma wakasema lazima tuukague wakaleta invoice ya Tsh 30,000,

View attachment 2391986View attachment 2391987
View attachment 2391988View attachment 2391989

Bandari Kavu nao mzigo Ulipofikia na kutuzwa nao wakadai Tsh 129,385, Jumla ya gharama zote ikawa 799,717.. . Agent nae aliyefanya clearance akaja hapa akabil 150,000 Jumla ikawa 949,717, Mzigo ukatoka ukapelekwa Pale Shekilango ili utumwe Dodoma na pale wakadai 20,000 Jumla kuu ikawa 969,717..
.
View attachment 2391991View attachment 2391994
.
Sasa huu ni mlango mmoja tu ingekua zaidi unaweza geuza gari banda la kuku, Ingekua kama IST na ndugu zake hapa mlango ungepatika ilala kwa 350,000 - 500,000, Au ukienda kwa wakata magari pale Tandale kwa tumbo unaweza pata hadi kwa Tsh 200,000-300,000 au chini zaidi..
.
View attachment 2392001View attachment 2392002View attachment 2392006View attachment 2392010
.
Sasa lengo la kukupa hii story ni kukupa ufahamu ili wakati unataka gari uwe makini na chaguzi zako. Usije ingia mkenge ukaja ukapasuka mbele ya safari ndugu, Najua dunia ni kijiji ila always nasema kuagiza baadhi ya spear au body parts sio sawa na kununua hapa nchini..
.
Kuna vitu lazima uwe vizuri mfukoni tofauti na hapo utaumia, Kuna brands za gari kama uchumi wako bado ni wa kutumia ARV sio za kununua zitakutesa tu. Kama unahitaji ushauri karibu tutakupa ushauri mzuri tu ili ukusaidie kufanya maamuzi sahihi kutokana na kipato chako..
.
Kama unahitaji kuagiza gari Japan , kununua showroom au mkononi karibu, Tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore etc dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa bei safi, Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi salama na unaojali muda wako..
.
View attachment 2392016View attachment 2392017
.
Simply tupigie simu njoo WhatsApp au ofisini Posta Mpya Phoenix House mkabala na Mkapa tower tutaku assist Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice..
.
View attachment 2392019View attachment 2392021View attachment 2392026
.
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo, Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kushare kwa ajili ya wengine na Kama hujatu follow katika kurasa zetu za jamii tu follow chap ili next time usipitwe na madini..
.
Asante
Samatime
0714547598
Bro hongera sana una uwezo mzuri kichwani bila shaka

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Ila Saswanu huwa kuna vibe ila leo pamepoaaa 🤣🤣🤣.
Bambalaga weekends ndio pana vibe.
 
Attachments

  • 20221019_191733.jpg
    20221019_191733.jpg
    634.7 KB · Views: 40
Kuna wengine kuagiza spare Japan ndo mambo yetu kama vipi tuunganishie na hao jamaa wanaopakia kwenye loose cargo..tununue rim maana bongo kupata 20 inches wheels...9.5j ni changamoto kubwa..sana
 
Kwa hiyo kila mtu aagize Toyota akitegemea unafuu wa vipuli ikitokea ajali? Wenye magari adimu kawaida huwa wanakata bima kubwa.
 
Safi saana mkuu uzi mzuri sana nimejifunza kitu with vivid facts and experience, haya mambo ya kuwa na gari UNIQUE yana gharama zake na ni mateso kinyama , wengine gari wanazipaki zinaoza. Wanazidharau IST,Spacio na wenzake eti ni yebo yebo zimejaaa kila mahali., Gari kujaa na kuwa nyingi ndo jambo la kushukuru kwa kua tunashea cost na parts zinakua nyingi na ni kipimo kuwa gari zimekubalika na soko. Tuache ushamba wakutaka gari la kipekee sana na hela ilivo ngumu hii utajuta.
 
Hela ngumu kwako.

Mpaka ananunua unique anaweza litunza.

Nchi nzima kuendesha ist ni dalili ya umasikini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom