Kodi mpya Kenya zatajwa kuathiri Bei za Mafuta, Ada za M-Pesa na Mishahara ya Watumishi wa Umma

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,617
Hazina inalenga watu wanaopata mapato ya juu, Watumiaji wa M-Pesa na watumiaji wa mafuta kuongeza nyongeza ya Ksh. Bilioni 364 za ushuru katika bajeti mpya kupitia mpango wa ukusanyaji wa mapato

Kiwango cha juu cha ushuru wa mapato kitapanda hadi asilimia 35 kutoka asilimia 30 kwa wafanyakazi wanaopata zaidi ya Ksh. 600,000, ambao watalipa ushuru wa ziada wa angalau Ksh. 5,000 kila Mwezi

Utawala wa Rais William Ruto umependekeza kuongeza ushuru wa ada ya kutuma pesa kwa njia ya simu kutoka asilimia 12 hadi 15, hivyo kuweka mazingira ya kupanda kwa ada zake

Katika Muswada wa Kodi mpya Hazina imefuta vifungu vya sheria vilivyoruhusu kupunguzwa kwa nusu ya ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) kwa bidhaa zote za petroli kwa hadi 8%

Hii inamaanisha kwamba gharama za Petroli na Dizeli zinaweza kuongezeka kwa Ksh. 13.20 na Ksh. 10.50 kwa lita kulingana na bei za hivi sasa

Hatua hii inatajwa kuongeza gharama za kuishi hivyo kuongeza mzigo zaidi kwa familia kwa sababu gharama za nishati na usafiri huchangia mfumuko wa bei nchini kwa kiasi kikubwa


........

How new taxes will hit fuel, M-Pesa charges and salaries


The Treasury is targeting top income earners, M-Pesa transactions and fuel consumers to raise an additional Sh364 billion in taxes for the new budget in a revenue collection plan that will see workers’ pay, already ravaged by inflation, shrink further.

The top income tax rate will rise to 35 percent from 30 percent for workers earning above Sh600,000, who will pay an additional tax of at least Sh5,000 monthly.

President William Ruto's administration has proposed to increase the excise duty on mobile money transfer fees from 12 percent to 15 percent, setting the stage for a review of M-Pesa transfer fees.

The Treasury in the newly published Finance Bill also deleted sections of the law that allowed the halving of value-added tax (VAT) on all petroleum products to eight percent.

This means that the cost of petrol and diesel could increase by Sh13.20 and Sh10.50 a litre based on the current prices.

This looks set to pile more pressure on households because the cost of energy and transport has a significant weight in the basket of goods and services that is used to measure inflation in the country.

Source: Business Daily
 
Back
Top Bottom