Dah umesema kweli..haka ni kaugonjwa ketu wabongo. Hatujui tutokelezee vipi na wapi..
Tatizo la Muha yeyote akishapata mafanikio anataka kufahamika dunia nzima
Haya ya kuonyesha dharau kwa Kabila zima kwa vitendo vya Diamond si haki hata kidogo.
My apology sir nimepitiwa, lkn mushaurini huyo ndugu yenu asilewe sifa maana walikuepo wengi wakapita, nani asiemtambua Mr Nice Tanzania hii? Lakini kwa sasa yupo wapi!
ngoshwe
Ukiona mtu anatumia NGUVU nyingi KUANDIKA huku ametoa ulimi nje .... nafikiri kuna tatizo la kutokupitia madarasa mengi!
Alafu hapo anaandika Jina lake TU kwenye kitabu cha wageni!
Hivi huyu jamaa ameishia Darasa la Ngapi?
Hahahaha, mchokozi wewe! Mwenzio anaumba silabi.
Ujana ni kama moshi.....let the guy be.
Manake saa nyengine tunajikuta tunaingilia mambo ya wengine kwa kuyatazama kwa msimamo wa mienendo yetu.
We are not him, hatujui kwenye position yake tungetendaje na pia hatujui kaa mienendo yetu ni sahihi. Si wengi wanaokaa na kujitathmini