Tatizo la Muha yeyote akishapata mafanikio anataka kufahamika dunia nzima
kaka unaona sana,umeniwahi tu ningesema kama ambavyo umesema kwa tofauti ya maneno machache sana.ngoshwe
Ukiona mtu anatumia NGUVU nyingi KUANDIKA huku ametoa ulimi nje .... nafikiri kuna tatizo la kutokupitia madarasa mengi!
Alafu hapo anaandika Jina lake TU kwenye kitabu cha wageni!
Hivi huyu jamaa ameishia Darasa la Ngapi?
Suti mbugani?? Sijawahi ona kwa kweli.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
ni wa mbagala kizuiani jibu umeshalipata !!!!!!!!!!!ngoshwe
Ukiona mtu anatumia NGUVU nyingi KUANDIKA huku ametoa ulimi nje .... nafikiri kuna tatizo la kutokupitia madarasa mengi!
Alafu hapo anaandika Jina lake TU kwenye kitabu cha wageni!
Hivi huyu jamaa ameishia Darasa la Ngapi?
watake radhi hao jamaa unataka niishi mjini kwa shida weyeTatizo la Muha yeyote akishapata mafanikio anataka kufahamika dunia nzima
Obviously "mashikolo mageni", but, can he live?
Acheni ushamba wabongo kikwete angekwenda na suti mngesema wivu tu.. mwacheni dogo from tandale mpaka aliko kapigana sana.. acheni kujifanya wajuaji makota yenu.
kweli kabisa me mwenyewe mmoja waoMbona mnamsakama hivyoo?
wabongo wangapi wanazijua hata hizo dinner suits?
au kuvaa suits often?
Du ebu tutoeni ushamba hivi kumbe kuna dinner suit? Ngoja niangalie ya kwangu isije ikawa ni Lunch suit nikachekwa nikienda nayo Breakfast......
Western dress codes
|
[h=2]Contents[/h] [hide] |