Mambo ya "Dinner Suit" Mbugani: Diamond Platinum

Haya ya kuonyesha dharau kwa Kabila zima kwa vitendo vya Diamond si haki hata kidogo.

My apology sir nimepitiwa, lkn mushaurini huyo ndugu yenu asilewe sifa maana walikuepo wengi wakapita, nani asiemtambua Mr Nice Tanzania hii? Lakini kwa sasa yupo wapi!
 
anasifia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana mbuga mzuri gharama kidogo hivi katumia

1. pesa zake kwenda ?

2. kabla ya hapo alishawahi k wenda?
3. alikwenda kwa kutumia pesa yake ?
 
My apology sir nimepitiwa, lkn mushaurini huyo ndugu yenu asilewe sifa maana walikuepo wengi wakapita, nani asiemtambua Mr Nice Tanzania hii? Lakini kwa sasa yupo wapi!

Ujana ni kama moshi.....let the guy be.

Manake saa nyengine tunajikuta tunaingilia mambo ya wengine kwa kuyatazama kwa msimamo wa mienendo yetu.

We are not him, hatujui kwenye position yake tungetendaje na pia hatujui kaa mienendo yetu ni sahihi. Si wengi wanaokaa na kujitathmini
 
Haka ka bwa mdogo kalikuwa kana uza mitumba pale kariakoo lakini kanashindwa hata kujua katoke vipi kutokana na mandhari,kenyewe kanaona kakipiga suit basi ndio kamemaliza,kalitakiwa katafute gears za mbugani.Anyway nyimbo zake huwa nazizimia iko siku nitakaita kaje kuniburudisha mimi na familia yangu nasikia shoo yake haizidi 700k.nitumieni contacts zake kwa yeyote mwenye nazo.
 
Wivu bana ni ugonjwa mbaya sana!!muacheni afanye yanayolingana na rika lake. Amesoma hajasoma inawahusu nini? wewe babu yako amesoma wapi na amekufikisha hapo ulipo. Kusoma ni kuongezea ulichonacho kama huna hata ungesoma ni kazi bure tu,ebo.
 
mijitu mingine ni mawivu na roho mbaya zimewajaa, sasa watu wanataka avaaje na mnajua alikuwa kwenye shughuli gani? mpeni haki yake alipotoka ni mbali sana na mpka hapo alipofikia kuhusu eti hajui kuandika au hajapitia madarasa mengi haihusu kabisa mshukuru mungu wewe mzazi wako aliyekupeleka shule na ukapata mafanikio makubwa zaidi ya hata huyo diamond aliyapata.
sifa mpeni kabisa na mpongezeni pale anapokosea napo mumkosoe sio kila kitu mnakosoa. shit
 
kalamu ilikuwa haiandiki vizuri, siunajua tena reception za mbuga zetu. Hivyo ikabidi atumie nguvu nyingi kui-force ili angalau itoe kamchoro.
 
ngoshwe

Ukiona mtu anatumia NGUVU nyingi KUANDIKA huku ametoa ulimi nje .... nafikiri kuna tatizo la kutokupitia madarasa mengi!

Alafu hapo anaandika Jina lake TU kwenye kitabu cha wageni!

Hivi huyu jamaa ameishia Darasa la Ngapi?


WaTZ bana!
 
Ujana ni kama moshi.....let the guy be.

Manake saa nyengine tunajikuta tunaingilia mambo ya wengine kwa kuyatazama kwa msimamo wa mienendo yetu.

We are not him, hatujui kwenye position yake tungetendaje na pia hatujui kaa mienendo yetu ni sahihi. Si wengi wanaokaa na kujitathmini

Asante Gaijin umenifanya nitulie na kufikiri.
 
anayo health insurance?? Sio siku ije kimewaka hapa waanze kupitisha michango na kusumbua watu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom