Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Yo Yo karibu sana... Za siku nyingi... Nimefurahi kukuona...
Wewe nawe sijui wa wapi?? She was a CEO kapigwa chini period suala la kupata kazi sehemu nyingine non of my business .unajua boss ya tanroad yupo wapi sasa hv?........I can assure you kwa perfomance yake (tukiacha mambo mengine constant) anaweza kukamata kazi nzuri pahala pengine ukazidi kuchanganyikiwa...
Baridi la sitokihomu limegandisha akili yakoTafadhari, nakuomba usiendelee kujibizana na watu humu, kwa maana ndiyo utakavyoendelea kuweka udhaifu wako peupe. Bora unyamaze.
Hivi nchi hii kuna mtu yoyote mwenye pesa au cheo ambaye siyo fisadi?
ur totaly bongolala......na huamshwi na mtu andelea kulala....
Tarifa toka ndani zina reveal ukweli, mama kala promo na kuwa director..........non executive director sasa hapo kapigwa chini au kalamba dume? YO YO acha uongo....ingawa alikuwa haelewani na Dinesh GM wa Exim hatu wezi kusema amefukuzwa.........
Ndio wapo.
Prof. Anna Tibaijuka
Dr. Magufuli
Mizengo pinda
Baba yangu Mzazi
Nipengo kubwa sana kwa huyu mama kuondoka EXIM bank......
Habari za ubandidu hazina msingi ........Huyu mama alikuwa mkali kwa watu wazembe na siku zote alimaanisha kazi hakuwa na visa wala visasi.........ame wine business nyingi sana, bank imegrow mikononi mwake toka likiwa tawi moja hadi ishirini kwa miaka chini ya kumi natano.
Hakika mama huyu mimi binafsi na mfagilia sana
lakini wazee huyu mama mbona nasikia alikuwa ruber stamp.
bwa ha ha ha MBA yako umesoma na Mkulo?In our MBA class , she was always reffered to as a figure head..someone in authoritative posn without authority..abt her perfomance I can't comment but for a layman's point of view, tht bank has excelled!
huijui exim wewe.....kuna benki yenye huduma kimeo kama exim?? ATM zake hazifanyagi kazi always...nenda yoyote nw...hazifanyi kazi....tht bank has excelled!
lakini wazee huyu mama mbona nasikia alikuwa ruber stamp.
Acid
Kuna wengine sio mafisadi kwamfano Pinda na Magufuli......