Mama Mwambenja wa Exim is OUT

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Aliekuwa CEO bandidu wa bank ya Exim Mama Mwambenja Sabetha kapigwa chini effective tangu jana......japo wafanyakazi wameambiwa kuwa mama kaamua kustaafu lakini news za ndani inasemekana kapigwa chini na wenye benki....sasa hivi ni sherehe kubwa exim benki kwa ubandidu aliokuwa nao mama kwa wafanyakazi wake....
 
Nafikiri hata hivyuo mama alikuwa tayari anatakiwa kupumzika nilimfahamu toka akiwa NBC foreign branch, she is almost 60 something. Alikuwa na undugunazesheni kwani wanyakyusa wengi wamepata kazi pale lakini tuache majungu kaifikisha Exim mbali from the ground zero
 
Kuondoka si hoja bali kile kilichomuondoa ndiyo utambie hapa.
Sijui....kashindwa ku meet target ya hawa Yogesh Manek, Hanif Jaffer na Shaffin Jamal ambao kwa pamoja wana own 60% ya benki..you never know....but she was a bandidu.....hindi treatment kwa her employees.......
 
Nipengo kubwa sana kwa huyu mama kuondoka EXIM bank......
Habari za ubandidu hazina msingi ........Huyu mama alikuwa mkali kwa watu wazembe na siku zote alimaanisha kazi hakuwa na visa wala visasi.........ame wine business nyingi sana, bank imegrow mikononi mwake toka likiwa tawi moja hadi ishirini kwa miaka chini ya kumi natano.

Hakika mama huyu mimi binafsi na mfagilia sana
 
Manek ni Mstaarabu sana, ana hulka zote za kiubinaadam na kitanzania, shida hivyo vi expert vya kihindi!

Kawaida ya wa Tanzania , uvivu wa kufanya kazi, bosi akiwa Mkali na hana mchezo basi utasikia ooh tunaburuzwa , ooh Ubindudu na sijui Mabindudu sijui bandudu sijui ndio madudu gani.
 
Tarifa toka ndani zina reveal ukweli, mama kala promo na kuwa director..........non executive director sasa hapo kapigwa chini au kalamba dume? YO YO acha uongo....ingawa alikuwa haelewani na Dinesh GM wa Exim hatu wezi kusema amefukuzwa.........
 
Anyway.....nikipata wasaaa nita publish barua iliyotumwa kwa wafanyakazi.......labda barua imekosewa.....
 
Kwamba alikuwa bandidu huo ni mtazamo wako binafsi, na huenda uli'counteract nae kwenye experience mbaya, na hivyo unaona kama ni vyema kuondoka kwake...I can assure you kwa perfomance yake (tukiacha mambo mengine constant) anaweza kukamata kazi nzuri pahala pengine ukazidi kuchanganyikiwa...
 
Yoyo

Wavivu sikuzote huwa ita mabosi wao mabandidu kisa wana wafuatilia utendaji wao wa kazi ........ tubadilike tuwe wachapakazi hao mabandidu hatutawaona.....
 
Aliekuwa CEO bandidu wa bank ya Exim Mama Mwambenja Sabetha kapigwa chini effective tangu jana......japo wafanyakazi wameambiwa kuwa mama kaamua kustaafu lakini news za ndani inasemekana kapigwa chini na wenye benki....sasa hivi ni sherehe kubwa exim benki kwa ubandidu aliokuwa nao mama kwa wafanyakazi wake....

Yule mama ni mzee, ana miaka 60 sasa. Pia kaitumikia Exim kwa kipindi kirefu na kuonesha mafanikio makubwa sana. Kwake, hiki ni kipindi cha kupumzika. Anaenda kucheza na wajukuu sasa.

Wewe Yo Yo unaelekea ni mtu mwenye tabia ya kuwasema watu vibaya bila hata kuwa na ushahidi wa kutosha, kama una chuki binafsi naye hiyo siyo sababu ya kutufanya hata sisi pia tuwe na chuki naye. Ni tabia za kike, kwa wanaume wa kweli akikorofishana na mtu wala hasemi kokote zaidi ya kuongea na yule aliye korofishana naye. Hivyo kama una ugomvi naye ni shauri yako.

Tafadhari, nakuomba usiendelee kujibizana na watu humu, kwa maana ndiyo utakavyoendelea kuweka udhaifu wako peupe. Bora unyamaze.
 
Mama alikua mchapa kazi!mpaka wahindi wamkubali mswahili kumpa cheo kikubwa ujue shughuli ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom