Mama Mwambenja wa Exim is OUT

Hata hivyo alikuwa na urudness fulani na dharau kitu ambacho baadhi ya wafanyakazi humo ndani walikuwa hawampendi. Pia alikuwa akiwasikiliza mno wahindi kuliko wazawa in short wahindi walikuwa ndio wanasauti na hata wakiboronga wahindi wanachukuliwa hatua pungufu kuliko waswahili.
Now ur talkin….hilo ndilo tatizo ambalo wengi hawalijui…..kwa walio karibu au wafanyakazi wake huwezi kumshwishi eti huyu mama ni hero…..aende zake bana…can u imagine wafanyakazi hawana mkopo wowote toka benki???? So hana mpango mzuri na wafanyakazi wake….ndio benki ambayo wafanyakazi wanaacha kazi after 1 month!
Yoyo nakushauri tumtaje kwa mazuri yake kwani ni mengi hayo mapungufu ya ATM ni yakawaida kwa benki za Tanzania. Nenda NMB, CRDB tatizo ni hilo hilo haimaanishi kwamba benki imeunderperform.
Hakuna zuri….au kwaku ni mwanamke basi tutafuuuuuuute zuri…aaaah wapi bana….aende zake….
Hongera sana mrs mwambenja you deserve it!!!
Hakuna la kujifunzan toka kwake…..aende zake….
 
amefanya kazi kubwa na nzuri sana pale exim bank. amedhihirisha uwezo wa wanawake katika fani ngumu kama benki. hongera mama na vyovyote iwavyo unastahili pongezi kwa matunda yako tanayoonekana live hapo exim
ur always weak...endeleeni kumchekea JK awape vyeo vya upendeleo...
 
bwa ha ha ha MBA yako umesoma na Mkulo?

huijui exim wewe.....kuna benki yenye huduma kimeo kama exim?? ATM zake hazifanyagi kazi always...nenda yoyote nw...hazifanyi kazi....

Where did Mkulo had his MBA ? I had mine @ UDSM..but what has that got to do with Mkulo ? In our class the lecturers reffered to her as toothless dog..I'm just presenting what I heard

Atm si kipimo cha mafanikio..ni one amongst others, what about credit cards (visa ) etc...?
 
Anyway hukunisoma niliposema umesoma na mkulo.....go figure msomi....hizi MBA za siku hizi bana...
....haya mamii
...mods naomba muiamishie celebrity..kuna la dowans jukwaani siasani
 
Now ur talkin….hilo ndilo tatizo ambalo wengi hawalijui…..kwa walio karibu au wafanyakazi wake huwezi kumshwishi eti huyu mama ni hero…..aende zake bana…can u imagine wafanyakazi hawana mkopo wowote toka benki???? So hana mpango mzuri na wafanyakazi wake….ndio benki ambayo wafanyakazi wanaacha kazi after 1 month!

Hakuna zuri….au kwaku ni mwanamke basi tutafuuuuuuute zuri…aaaah wapi bana….aende zake….

Hakuna la kujifunzan toka kwake…..aende zake….

YO YO inaonekana mtazamo wako wa kutafuta kazi Benki ilikuwa kupata mikopo kwa urahisi; inaonekana kwa huyu mama aliharibu ndoto zako kabisa kwa kukutana na misimamo yake ya utendaji. Mikopo inatolewa kwa vigezo hata kama ni mfanyakazi. Acha chuki binafsi; huyu mama anasifiwa kwa utendaji, acha kuleta majungu.
 
Now ur talkin….hilo ndilo tatizo ambalo wengi hawalijui…..kwa walio karibu au wafanyakazi wake huwezi kumshwishi eti huyu mama ni hero…..aende zake bana…can u imagine wafanyakazi hawana mkopo wowote toka benki???? So hana mpango mzuri na wafanyakazi wake….ndio benki ambayo wafanyakazi wanaacha kazi after 1 month!

Hakuna zuri….au kwaku ni mwanamke basi tutafuuuuuuute zuri…aaaah wapi bana….aende zake….

Hakuna la kujifunzan toka kwake…..aende zake….

Mkuu hilo ni kweli alikuwa rude hasa kwa wafanyakazi wa ngozi nyeusi hiyo ni weakness yake but lazima tukubali masuala ya mikopo ni masuala ya wafanyakazi wenyewe kuanzisha jitihada za kuwataarifu. Management haiwezi kufanya kitu kama wafanyakazi hawajapropose hicho kitu wanakihitaji. Wao wanataka kumaximise profit na sio kuwafurahisha wafanyakazi. Nikuulize je jitihada zilifanyika kuachive hilo?

Inaonekana mkuu una beef nae unaposema hakuna zuri la kujifunza kutoka kwake mie sikubaliani na wewe yapo mengi sana. Benki yake imekumbwa na wizi mchache sana wa kibenki kwasababu kuna internal control ya nguvu mule ndani. Pili uwezo wa kuwaweka wateja wake wakubwa waisondoke pale Exim ni strategy ambayo benki zengine wanashindwa. Tatu kuona mbali so far Exim ni bank pekee iliyo na branch nje ya nchi (Comoro) sasa nikuulize CRDB, NBC na wengineo wako wapi?
 
Where did Mkulo had his MBA ? I had mine @ UDSM..but what has that got to do with Mkulo ? In our class the lecturers reffered to her as toothless dog..I'm just presenting what I heard

Atm si kipimo cha mafanikio..ni one amongst others, what about credit cards (visa ) etc...?

Just thinking aloud!
I had(still have) the presumption that kuwa na MBA ni pamoja na kuwa na impeccable communication skills?
 
Acid
Kuna wengine sio mafisadi kwamfano Pinda na Magufuli......

Una uhakika na unayoyasema?

Au umesahau kuwa Magufuli ndiye aliyesimamia zoezi la kuuza nyumba za serikali. Pia hukusoma kuwa Mwanahalisi walitaka kumuuliza Pinda kama ni kweli anamiliki kampuni (kwa kuwa na shea) fulani ya mabasi yaendayo mikoani? Hii ni Tanzania bwana, vitabu kwa nje vinaonekana vyeupe ila usijaribu kufunua nini kiko kwenye kurasa za katikati!!
 
Just thinking aloud!
I had(still have) the presumption that kuwa na MBA ni pamoja na kuwa na impeccable communication skills?
MBA huyo....msitiri mkuu.....hakunuielewa hata niliposema kasoma na mkulo.....
 
Kweli kbs,uzembe umetujaa watz na majungu kwa sana akija mtu mchapakaz yan watu hawatak hta kumsikia

I have known this lady since her days at NBC.
She is strong willed and can also make tough decisions, kwa wale wanaopenda laissez-faire, certainly she was a dissapointment to them.
Ningekuwa na mtaji wa kuanzisha benki, she is the type of person I would look for.
 
Anakwenda kufungua Bureau De Change yake soon mtaona!

Ametokea huko alipoanza kazi kama mnaikumbuka Exim Bureau De Change ikaja kuwa Exim Bank sitoshangaa ndio mipango ya kuanzisha benki baadae maana model ya Exim ni yake.
 
lakini wazee huyu mama mbona nasikia alikuwa ruber stamp.

Ninkwenda,
That is an attempt towards being a great thinker. To aquire it full (status of being a great thinker), tujulishe a full story about what you have heared juu ya u-ruber stamp wa huyo Mwambeja. Kwa kufanya hivyo utakuwa umetuweka katika mazingira mazuri ya mjadala.

Ungeweza hata kuandika hivi:

......LAKINI WAZEE MBONA NASIKIA ALIKUWA RUBER STAMP! KWA MFANO KATIKA JAMBO ..... LILIAMULIWA NA .... YEYE KWA NAFASI YAKE AKAELEKEZWA AFANYE.... KITU AMBACHO HAKIKUWEMO KWENYE MPANGO WA OFISI LAKINI IKABIDI AKIPITISHE KWA AJILI AMA KWA MANUFAA YA WENYE KUMWELEKEZA.

angalau tungepata picha nzuri Ndugu. Hebu lete full storry mtaalam.
 
Now ur talkin….hilo ndilo tatizo ambalo wengi hawalijui…..kwa walio karibu au wafanyakazi wake huwezi kumshwishi eti huyu mama ni hero…..aende zake bana…can u imagine wafanyakazi hawana mkopo wowote toka benki???? So hana mpango mzuri na wafanyakazi wake….ndio benki ambayo wafanyakazi wanaacha kazi after 1 month!

Hakuna zuri….au kwaku ni mwanamke basi tutafuuuuuuute zuri…aaaah wapi bana….aende zake….

Hakuna la kujifunzan toka kwake…..aende zake….

Mkuu katika benki TZ ambazo hata kama una masters unatumwa ukapikie wahindi chai ni EXM na kutoa rushwa ili upate kazi kuna HR pale mwanaume chapombe ni mlevi wa kupindukia na mwomba rushwa zote ya ukimwi na hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom