Mama Mwambenja wa Exim is OUT

...I can assure you kwa perfomance yake (tukiacha mambo mengine constant) anaweza kukamata kazi nzuri pahala pengine ukazidi kuchanganyikiwa...
Wewe nawe sijui wa wapi?? She was a CEO kapigwa chini period……suala la kupata kazi sehemu nyingine non of my business….unajua boss ya tanroad yupo wapi sasa hv?.....
Tafadhari, nakuomba usiendelee kujibizana na watu humu, kwa maana ndiyo utakavyoendelea kuweka udhaifu wako peupe. Bora unyamaze.
Baridi la sitokihomu limegandisha akili yako……
 
Tarifa toka ndani zina reveal ukweli, mama kala promo na kuwa director..........non executive director sasa hapo kapigwa chini au kalamba dume? YO YO acha uongo....ingawa alikuwa haelewani na Dinesh GM wa Exim hatu wezi kusema amefukuzwa.........

Kwa nijuavyo kuwa director siyo promo hata siku moja, ni kuwa unabaki kama mshauri wa kampuni tu na si vinginevyo na pia unaishi kwa posho ya vikao ambavyo inawezekana siyo vingi kihivyo kwa mwaka mzima wa fedha.
 
Nipengo kubwa sana kwa huyu mama kuondoka EXIM bank......
Habari za ubandidu hazina msingi ........Huyu mama alikuwa mkali kwa watu wazembe na siku zote alimaanisha kazi hakuwa na visa wala visasi.........ame wine business nyingi sana, bank imegrow mikononi mwake toka likiwa tawi moja hadi ishirini kwa miaka chini ya kumi natano.

Hakika mama huyu mimi binafsi na mfagilia sana

Kweli kbs,uzembe umetujaa watz na majungu kwa sana akija mtu mchapakaz yan watu hawatak hta kumsikia
 
lakini wazee huyu mama mbona nasikia alikuwa ruber stamp.

In our MBA class , she was always reffered to as a figure head..someone in authoritative posn without authority..abt her perfomance I can't comment but for a layman's point of view, tht bank has excelled!
 
In our MBA class , she was always reffered to as a figure head..someone in authoritative posn without authority..abt her perfomance I can't comment but for a layman's point of view, tht bank has excelled!
bwa ha ha ha MBA yako umesoma na Mkulo?
tht bank has excelled!
huijui exim wewe.....kuna benki yenye huduma kimeo kama exim?? ATM zake hazifanyagi kazi always...nenda yoyote nw...hazifanyi kazi....
 
....BTW tuone atakuja nani....mpaka sasa hivi system za exim matawi yoote zimakata....
 
Ndio kila chenye mwanzo kina mwisho. Kwani ulitaka atawale milele? Kama kuna mema basi kuna mabaya pia. Chamsingi aangalie mbele.
 
Kama huna au hujui kaa kimya na acha kabisa kutetea watu unawafahamu kupitia Television stations,magufuri ameweza kuficha madudu yake kupitia utendaji wake but I tell you Pinda and Magufuria are small time fisadis too.
lakini wazee huyu mama mbona nasikia alikuwa ruber stamp.
 
Wakuu mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni hii benki naifahamu vizuri Sana Mwambenja ni mwanamke wa shoka aliyekuwa haientartain nonsense. Hata hivyo alikuwa na urudness fulani na dharau kitu ambacho baadhi ya wafanyakazi humo ndani walikuwa hawampendi. Pia alikuwa akiwasikiliza mno wahindi kuliko wazawa in short wahindi walikuwa ndio wanasauti na hata wakiboronga wahindi wanachukuliwa hatua pungufu kuliko waswahili.

Kuhusu undugu sidhani maana watu wake wa karibu wengine yaani wasaidizi wake wengine ni wachaga, wasukuma na wanyakyusa , wahindi sasa sidhani kama kuna undugu. Kuhusu performance hii benki ndio imekuwa but kukuwa kwa hii bank kumechangiwa zaidi na mkopo walioupata na wanaoendelea kuupata kutoka IFC . Huu mkopo walipouchukua kwa ajili ya kuusaidia kilimo wameutumia vizuri kwani haukuwa na masharti lazima watoe kwa wakulima wadogo wadogo. Hivyo basi wakulima wengi sidhani kama wamefaidika na hii mikopo kwa kisingizio ni risk customers. Matokeo zile hela zimeenda kwa wakopaji wakubwa na wahindi wengi wamefaidika sana na mikopo ya Exim. Wamekuwa wazungusha hizo pesa huko na huku wakiwalipa IFC. Karibuni pia wameongezewa mkopo mwengine kwakuwa wameonekana ni walipaji wazuri ila cha kuuliza IFC wamehoji marginal impact ya mikopo hiyo kwa wakulima?

Tukienda katika Performance nyengine huyu mama aliokoa hii benki from collapsing wakati Abbas Gulamali alipojitoa. Hapa ndio nilimuona mwanaume wa shoka. Benki ilitaka kumfia mikononi mwake akajitahidi kuikoa from the brink of collapsing kwa kuchukua mikopo mbali mbali ili kuweka bank afloat. Hivyo isingelikuwa huyu mama Exim ingelikuwa haijulikani.

Yoyo nakushauri tumtaje kwa mazuri yake kwani ni mengi hayo mapungufu ya ATM ni yakawaida kwa benki za Tanzania. Nenda NMB, CRDB tatizo ni hilo hilo haimaanishi kwamba benki imeunderperform.

Hongera sana mrs mwambenja you deserve it!!!
 
amefanya kazi kubwa na nzuri sana pale exim bank. amedhihirisha uwezo wa wanawake katika fani ngumu kama benki. hongera mama na vyovyote iwavyo unastahili pongezi kwa matunda yako tanayoonekana live hapo exim
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom