Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

[h=2]Mke Mdogo wa Mkuu wa kaya anatafuta Ubunge?[/h]
357q3pw.jpg


Toka kushoto ni balozi wa Palestina nchini, Mh Yusuf Habab, Balozi wa Saudi Arabia nchini mh Al-Jarbuo Ali,Mwenyekiti wa kampuni ya mafuta ya Noor Oil-Industrial technology,Mama Rahma Al kharoos al kharoos, Najey Al Haram pamoja na Bw.Ali
 
acha watafunane waswahili wansema ukiona "ukiona paka analala chali anza kuomba ruhusa kazini "....ngoja nikacheze bao nivute muda wa kufuturu
 
lete kahawa
Au lete kashata
Kuna mtu kapagawa
Na karibu atadata

Lete kahawa
Au lete kashata
Kuna mtu kapagawa
Na karibu atadata

Helwaa helua helua
Helwaa helua helua
 
Watanzania "wananifurahisha" sana wanapo tout kushika ofisi kama credential, as opposed to walifanya nini waliposhika hizo ofisi.

Mkuu hiki ndicho nilichotaka kuandika, asante sana kwa kuliona hilo. Sidhani kama ni sifa mtu kuwa na mavyeo kibao halafu ukakosa lines za kusema nini umefanya katika nafasi hizo!!!
 
Huyu kilango hanaga msimamo kuropoka kwngi kwenye puma kanywea....
Hana upganaji wowote ametumwa na wanaotaka urais 2015
 
Hii ni karne nyingine wote wapumzike, mwendo utakuwa wa new blood & new thinking!
 
Huu mchiriku wa ndani kwa ndani naupenda san! Watavuana nguo sasa hivi hawa. Sija sahau hela sa Jitu Patel! Kwa kifupi wamama hawa wote hawafai! CCM anzeni kutafuta damu mpya kukihuisha chama! Mipasho haiwasaidi kitu.
 
Leo Anne kilango anataka ubunge wa bwerere?Si alisema yeye ana jimbo hana muda wa kusubiri kupendelewa?
 
Back
Top Bottom