mimi ninapingana na wewe kwa CCM wote wanafaa tena sana na hawa ndio wanatusaidia watanzania kutuondolea li CCMKilango hafai ana tamaa sana...kwanza hajui uongozi..angoje 2015 awe first lady..
mimi ninapingana na wewe kwa CCM wote wanafaa tena sana na hawa ndio wanatusaidia watanzania kutuondolea li CCMKilango hafai ana tamaa sana...kwanza hajui uongozi..angoje 2015 awe first lady..
Kilango hafai ana tamaa sana...kwanza hajui uongozi..angoje 2015 awe first lady..
Wote Sofia Simba na Anne Kilango Malecela hawafai, full stop!!
Kwa muda mrefu tumekua kimya na tumesahau kuhusu hii jumuiya ya wanawake Tanzania yaani UWT.Hii ilikua inapashwa kubadili jina na kujulikana kama UWCCM na sivyo ilivyo hivi sasa kama ilivyofanyika kwa umoja wa vijana UVCCM HIVYO UMOJA HUO UWT HAUWAKIRISHI INTREST ZA WANAWAKE WA TANZANIA BALI WANAWAKE WANACHAMA WA CCM HIVYO UWEPO WAKE CHINI YA BENDERA YA WANAWAKE TANZANIA NI BATILI.MUNGU IBARIKI TANZANIA.JUMAMOSI, AGOSTI 04, 2012 05:33 NA MWANDISHI WETU, DODOMA
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), Sofia Simba, amesema jumuiya hiyo haihitaji vurugu na mabadiliko zaidi, kwa kuwa iko imara kutokana na uongozi wake.
Alisema kama kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti anayetaka kuleta mabadiliko, huyo anataka kuleta vurugu, kwa kuwa jumuiya iko imara kutokana na misingi imara aliyoiweka.
Sofia aliyasema hayo jana makao makuu ya CCM mjini hapa, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kurudisha fomu ya kutetea nafasi yake wakati wa uchaguzi wa jumuiya hiyo, utakaofanyika baadaye mwaka huu.
Pamoja na mambo mengine, Sofia alikuwa akimjibu mgombea mwenzake, Anne Kilango, ambaye juzi alichukua fomu na kusema ameamua kugombea nafasi hiyo kwa kuwa anataka kuleta mabadiliko ndani ya UWT.
Kuna mwenzangu mmoja amechukua fomu hapa jana (juzi) na kujigamba kuwa anataka kuleta mabadiliko eti kwa sababu ana uwezo wa kufanya hivyo.
Pia mtu huyo alisema yeye ndiye anayefaa kwa sababu aliingia UWT akitokea ngazi ya wilaya na kwamba mimi niliingia UWT nikitokea ngazi ya kata.
Sasa ngoja niwaambie, mimi ndiye ninayeijua UWT kwa sababu nimeanzia chini hadi kufika hapa nilipo, kwani niliwahi kuwa Katibu wa UWT katika Tawi la NDC, kisha nikawa Mwenyekiti wa UWT Kata ya Upanga Magharibi pale Dar es Salaam mwaka 1993.
Pia niliwahi kuwa Diwani wa Kata ya Upanga Magharibi mwaka 2000 na nikawa Mbunge mwaka 1995, na kikubwa zaidi kinachonifanya nitofautiane na huyo mtu ni kwamba, tangu mwaka 1998 nimekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT.
Sasa angalieni wenyewe mimi na yeye ni nani anayeijua jumuiya, ni yeye aliyeingia akitokea wilayani au mimi niliyeingia nikitokea chini kabisa kwa wanajumuiya?
Pamoja na hayo, nawaambia UWT iko imara, haihitaji mabadiliko makubwa kama anavyosema, kama anataka kuleta mabadiliko basi anataka kutuletea ugomvi ambao siyo sera yetu.
Kwa mujibu wa Sofia, wakati yeye akishika nafasi hizo, Anne Kilango alikuwa hajaingia katika siasa na kwamba wanachama wa UWT wanatakiwa kuwachagua viongozi wanaoifahamu vizuri jumuiya kuliko wasiofahamu.