Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,899
- 4,624
Hivi Sitta si spika wa Bunge? Doesnt he have emancipation power within the bunge regardinfg hoja? Was it not in his power to make sure the bunge made right decisions/ comes to the right conclusion regarding Richmond etc? je alifanya hivyo? kama kweli yeye ni mpiganaji kwanini alikubali kuvunja hoja Ya Richmond?
Sitta aliufunga mjadala wa richmond kulingana na hoja za kamati na wala hoja ya richmond haikuwa ya Sitta. Na mapendekezo 23 yalikiwa ni ya Bunge kwa kauli moja wala hayakuwa ya Spika. Yeye spika ni kama referee tu na sii mchezaji. Kama mafisadi wamefunga goli kwa usaidizi wa NEC ya ccm inabidi refa alikubali goli na wala kamwe hawezi kuliita corner kick. Wakulaumiwa ni wale wabunge wanakamati kwa usaliti wao kwa umma na wala sii spika. Sisi nasi sote tumeleweshwa bangi ya propaganda za mafisadi?