TLP imekufa kama alivyokufa kada wake Mrema

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,035
Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema.

Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli zozote za Kichama zinazoendelea pale.

Tunaposema Vyama vingine sio vya Upinzani ni Pamoja na TLP.

Inaonyesha TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema kwa ajili ya kuvuruga Upinzani na ndio maana Mrema aliweza kumnunulia Fomu mgombea Urais wa Ccm Hayati Magufuli na Magufuli baada ya Kuwa RAIS akamtunuku CHEO Bw. Mrema.

Kuthibitisha kuwa TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema mbona toka Mrema Afariki na TLP ni kama kimekufa? Hakuna kiongozi yoyote anasikika kukiongoza.
 
Hujawasikia wakitoa matamko ya kulaani maandamano ya CHADEMA mkuu?

Wapo pale magomeni wanasinzia tu na mitumbo yao yanasubiri kutumika mwakani kwenye mapingamizi dhidi ya CHADEMA!
 
Chalamila anasema Miwa imeishiwa Sukari kwa sababu ya El Nino kwanini Wamisri wasituletee Sukari?
 
Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema.

Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli zozote za Kichama zinazoendelea pale.

Tunaposema Vyama vingine sio vya Upinzani ni Pamoja na TLP.

Inaonyesha TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema kwa ajili ya kuvuruga Upinzani na ndio maana Mrema aliweza kumnunulia Fomu mgombea Urais wa Ccm Hayati Magufuli na Magufuli baada ya Kuwa RAIS akamtunuku CHEO Bw. Mrema.

Kuthibitisha kuwa TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema mbona toka Mrema Afariki na TLP ni kama kimekufa? Hakuna kiongozi yoyote anasikika kukiongoza.
Unapofika uchaguzi utashangaa kuona vyama zaidi ya 30 vinaibuka, unajiuliza siku zote vinakuwa wapi 😆 😆 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom