Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje sisi?

Mbaya zaidi dola 4,000/= anaita vijihela eti vya matumizi madogomadogo

Kwa bei hiyo mi Tandale kwa Mtogole nalala miezi sita na mpododo nakula raha
 
We Ndo ***** kweli, kuna hotel mpaka ya million 3 per night in Tanzania. Ulizia Andbeyond Mnemba Zanzibar or Andbeyond crater lodge Ndo utaelewa, Itakua umezoe vijiguest vya buku na honey moon wewe utaenda hotel ya buku 10,000 ( remember no research no right to speak)

Tembea uone hilo kwetu ni tusi kubwa sana
 
Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje sisi?

Mbaya zaidi dola 4,000/= anaita vijihela eti vya matumizi madogomadogo

Chama Cha Majambazi
 
Kwani hao mawaziri wanalipwa night kiasi gani hadi washindane na wafanyabiashara kulala kwenye mahoteli ya kifahari. Kumbuka hii ni pesa ya walipa kodi maskini ingawaje wao wanaziita vijipesa.
 
Kuna hoja hapa, kwa waziri ktk nchi ambayo uchumi wake unayumba na vipato vya wananchi wengi ni hafifu mno wanaishi maisha ya dhiki sana......si vi vizuri waziri akawa na matumizi ya namna hiyo, hizo ni pesa nyiingi sana!
Mbona kuna hotel nyingi tu zenye vyumba vizuri mno kwa Tshs 40,000/= hadi 50,000/=, vizuri sana na vina ulinzi wa kutosha!
Wizi mtupu!
 
Malima kashapoteza ushaidi! Watz tumeshaliwa kuna dili limechezwa katika wizara ya nishati na madini
 
Waziri kuibiwa ni hatari sana kwa usalama wa nchi kwani nyaraka zilizokuwa kwenye Laptop lazima kuna siri za serikali.. Hii ni hatari... Kaibiwa simu mawasiliano //flash document zake... Wallet & na hela...

Sipendi kujua ni hotel gani morogoro lakini je aalikuwa na nani??? Kama ni Malaya then hapo kuna shida kubwa kwa waziri kimaadili.. Kwenye Nchi zilizoendelea hapo ni kuachia ngazi ila huku haiwezekani..

Sasa tuzilete siasa ila tusemezane tu ni mazingira yapi ya tukio lilitokea na madhara niyepi..

Hotel za laki nne hata morogoro hotel ni bei hiyo...
 
ndio maana shilingi yetu inakosa thamani,kama waziri anatembea na dola ndani ya nchi hatuna viongozi wazalendo kabisa
 
Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje sisi?

Mbaya zaidi dola 4,000/= anaita vijihela eti vya matumizi madogomadogo
Tumewaruhusu wenyewe. Huyu na waziri wake walijilipa entertainment allowance kiutatanishi (Kashfa ya Jairo) lakini mpaka leo wako ofisini. Ule ulikuwa wizi, na wezi sehemu yao ni jela. Tukifanikiwa kuitoa CCM madarakani shurti hawa wote tuwafikishe kwenye haki. Nashawishika kuamini kuwa kama hawa wadogo wanafanya haya, mkubwa wao anafanya ya kutisha.
 
jana kwenye taaifa pitia tbc na itv walionesha mahali palipo vunjwa dirishani ,,jamani ni vichekesho dirisha ni la kioo ila kioo hakikuvunjika ila pamebenyuliwa kwa nje eti mwizi kapitia hapo ...halafu sheria ya kumiliki salaha huruhusiwi kuwa nayo mbali ..pistol huwa tunalala nayo chini ya mto(pillow) ili ukiingiliwa sio kitu ya kutafuta kama mheshimiwa alivyo kuwa aneleza jana eti alianza kutafuta simu .......du atakumbuka kweli watz tunataka umeme ...halafu saizi yeye na wengine akiwemo makamu wa rais wanzurura tz wanapiga kampeni nini ya uprezdaa?
 
Kwa mara ingine viongozi wa serikali wametuonesha kuwa ni watu wenye ukwasi,yaani hela zote hizo ni vijihela? Halafu ilikuaje aibiwe had pete na kibaka? Huyu kibaka alikuwa wa kike au kiume?

Si hayo tu tutaendelea kuona mengi maana ngoma inakaribia kileleni.
 
Nashera hotel morogoro nashaenda kupata kinywaji .Kwa maelezo ya malima kuibiwa dirishani kwa hoteli ile haiwezekani. Eneo la hoteli lilikuwa mali ya magereza wafungwa walikuwa wakilima mboga pale mara kumeuzwa ndio hotel nashera na wakazi wa moro wanasema mmiliki ni mzee mamvi. Km malima alienda kwa dili zake na kimada akapewa vitu na madawa kiasi akazinduka na boxer tu ni aibu kwake na familia yake na taifa zima hata pete ya ndoa kaibiwa aibu sana.
 
Huyu ni kati ya watarajiwa wa kugombea urais kama rais JK anavyotaka mwaka 2015 wagombea wawe vijana.
 
Tembea uone mambo wewe umeishia hapio dar kila kitu unakishangaa. Unashangaa chumba cha dola 250? Mbona humshangai ndesambulo kumiliki helkopta? Au kwa vile. Siyo CCM? Mawazo finyu kiongozi hawezi kuwa kama wewe mchoma mkaa

ndesambulo hiyo ni ya kwake,hata akiitumia vibaya hatuna shida naye. Shida hapa ni fedha za kodi zetu kutumika vibaya na hawa wahuni.
 
Back
Top Bottom