Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

Kama hela inaruhusu kwanini asilale? Umasikini wenu usifanye na wengine waishi kwa tabu.

aaa wewe nawee...., swala sio kutumia hela, sasa unajua naibu waziri hiyo hela ni yako hata wewe unahaki ya ku shout! sasa nakushangaaa unavyo tetea uwendawazimu................HUJUI USEMALO!!!
 
Kiongozi kuchagua style ya maisha gani aishi inategemea ni namna gani anaguswa na matatizo ya wale anaowaongoza. Kama Malima anadhani kulala kwenye chumba cha laki nne na kwamba dola 4000 ni vijipesa kidogo inaonyesha kabisa ni kiongozi Mbinafsi na asiyejali jirani yake kama jana alilala njaa yeye pamoja na watoto wake.

Mwalimu alikuwa na uwezo wa kuishi maisha ya anasa kuliko kiongozi yeyote, lakini kutokana na kuguswa na hali za duni za maisha yetu, aliamua kuishi maisha ya kawaida. Marehemu Sokoine ni mfano mwingine wa viongozi walioguswa na maisha ya mtanzania wa kawaida.

Pengine ndo maana walikomaa na ongezeko la posho.

Mtu wa aina ya Malima akipewa U JK pale magogoni, sina hakika kama tutabaki na kitu kule hazina.
 
Mi nashangaa sana Box 1 la gloves lenye pair 50 Tshs 8,000 lakini Nenda pale Hospitali ya Mkoa Morogoro Hakuna! Mfanyakazi anaosha gloves baada ya kutumia ili imfae baadae

Kiongozi kama huyu badala ya kusaidia watanzania YY anaenda kuchukua TAKEAWAYs na wamemliza

utashangaa serikali ikisema pesa hakuna!!!!!!!!!!!!
 
aaa wewe nawee...., swala sio kutumia hela, sasa unajua naibu waziri hiyo hela ni yako hata wewe unahaki ya ku shout! sasa nakushangaaa unavyo tetea uwendawazimu................HUJUI USEMALO!!!

Wewe unayejua usemalo unasikilizwa na nani? Zaidi ya kupiga makelele JF halafu usiku mnalala.......
 
Mi nashangaa sana Box 1 la gloves lenye pair 50 Tshs 8,000 lakini Nenda pale Hospitali ya Mkoa Morogoro Hakuna! Mfanyakazi anaosha gloves baada ya kutumia ili imfae baadae

Kiongozi kama huyu badala ya kusaidia watanzania YY anaenda kuchukua TAKEAWAYs na wamemliza

utashangaa serikali ikisema pesa hakuna!!!!!!!!!!!!

Kuna disposable gloves na re-usable gloves! Huyo alikuwa anaosha re-usable ones.
 
Hajaibiwa kupitia dirishani wewe,
Changu alieingia nae ndio kamkomba.
Kwa nchi za wenzetu hii ni kashfa kubwa sana, pengine hata Anaweza kushtakiwa kwa uzembe.
Maana hata hiyo laptop itakua Na Nyaraka mbalimbali za siri za serikali.

You have said it all my brother...i am out.
 
Ndesamburo hatumii kodi za walala hoi, anatumia jasho lako. Mbali na helkopta ana mahoteli na makampuni ya kitalii. Sasa huyu Adam Malima anajifanya yuko ziarani kikazi kumbe anajivinjari na totoz, bora wamemwibia

Chezea Changu Doa wewe!!!!! hahahahah.......acha kabisa kama ni UK huyu alikuwa wa kuresign....bahati mbaya sana ni Bongolala country....
 
aah!!angel uswahilini si unakujua?? Baada ya kuibiwa na mwili wake nini kingefuata?

Mh. hajui hali siyo nzuri cku izi, kuna watu wengi wemeshaibiwa Moro tena na watu waliowakalibisha vyumbani. Unajua tena Moro ni maarufu sana kwa utalii wa vikao
 
majungu mengine bana.......bas next time atalala guest ya buku nitamuambia mheshimiwa
 
unapokuwa mh alafu unajichanganya na sisi uswazi lazima upigwe yule changu aliyekuwa naye ndiye kampiga anaapply uhuni hadi serkalini wacha wampe nidhamu wewe umelala hotel ya 400000 per day unachukua changu wa 1500 which next.
 
Mi nashangaa sana Box 1 la gloves lenye pair 50 Tshs 8,000 lakini Nenda pale Hospitali ya Mkoa Morogoro Hakuna! Mfanyakazi anaosha gloves baada ya kutumia ili imfae baadae

Kiongozi kama huyu badala ya kusaidia watanzania YY anaenda kuchukua TAKEAWAYs na wamemliza

utashangaa serikali ikisema pesa hakuna!!!!!!!!!!!!

U make my tears linger

1. Then wanapuliza kuona kama imetoboka....mwagia poda ready for sterilization......zinachanganywa size tofauti kazi inapotaka kutumia sasa ndo huku kushoto skin tight kulia derah

Wakuu wa GoT mjitazame upya jamani hizi mambo ndo zinafanya watu kuchukua hatua mikononi na sheria tupwa kuleeeeeeeeeeeeeee

Ningepewa nafasi ya kumuuliza swali; Ulikuwa na umuhimu gani wa kuweka stori yote ile kwenye vyombo vya habri????
 
Kuna disposable gloves na re-usable gloves! Huyo alikuwa anaosha re-usable
ones.

Ndugu RS si kila kitu lazima kijibiwe kwa urahisi this much..........hiyo mambo ipo hata hizo unazoziita disposable zinakuwa treated na kutumiwa tena.....kinachofanyika kukinga afya ya mvaaji ni kuvaa mbili kila mkono na sometimes unakutana na damu imepita the first outer pair.........it is too risky!!!!!!!!

Caution; It is next to impossible for someone to know each and everything under the sun
 
huyu kutembea na bunduki aseme ukweli alikuwa ameenda Morogoro kwa madhumuni ya uwindaji ila anaficha kwa vile kuna uwezekano hana kibali cha uwindaji...
 
Back
Top Bottom