Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Mlitaka alale chumba cha sh ngapi?
waakiiiikeeeKwa mara ingine viongozi wa serikali wametuonesha kuwa ni watu wenye ukwasi,yaani hela zote hizo ni vijihela? Halafu ilikuaje aibiwe had pete na kibaka? Huyu kibaka alikuwa wa kike au kiume?
Mlitaka alale chumba cha sh ngapi?
hapa umeongea point ya maana sanaKama hela inaruhusu kwanini asilale? Umasikini wenu usifanye na wengine waishi kwa tabu.
kweli we wa bushisidhani kama kuna hotel ya lk 4 Tanzania hii umesikia vibaya!
najua ika najaribu kulinganisha hoteli aliyolala na jins alivyoibiwa hadi pete na chupi, kweli yawezekana kaibiwa kupitia dirishani??Hajaibiwa kupitia dirishani wewe, Changu alieingia nae ndio kamkomba. Kwa nchi za wenzetu hii ni kashfa kubwa sana, pengine hata Anaweza kushtakiwa kwa uzembe. Maana hata hiyo laptop itakua Na Nyaraka mbalimbali za siri za serikali.
ule mkataba wa David Cameroon ungeanzia kwake rasmiaah!!angel uswahilini si unakujua?? Baada ya kuibiwa na mwili wake nini kingefuata?
Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje sisi?
Mbaya zaidi dola 4,000/= anaita vijihela eti vya matumizi madogomadogo
najua ika najaribu kulinganisha hoteli aliyolala na jins alivyoibiwa hadi pete na chupi, kweli yawezekana kaibiwa kupitia dirishani??
sidhani kama kuna hotel ya lk 4 Tanzania hii umesikia vibaya!
well saidnasema alikuwa sebuleni anafanya shuguli zake .....hahahha..huu ni uongo..
ukiwa sebuleni unafanya shughuli zako maana yake lazima utakuwa na laptop, pete utakuwa hujavua, silaha itakuwa karibu simu zitakuwa pembeni hapo ...nampa changamoto aseme pale sebuleni alikuwa anafanya nini?.je aliwaonyesha waandishi makabrasha aliyokuwa anafanyia kazi?..huyu aseme tu kuwa kalizwa na dada poa wa kahumba...majibu yake hayajitoshelezi..huwezi kuwa sebuleni halafu vitendea kazi viko chumbani halafu unadai pale sebuleni ulikiwa unafanya shughuli zako....
anaongopa ili kujitetea kwa watanzania wamuone kuwa ameibiwa na wezi.........
pale morogoro pale Ak-47 ya nini pale na bastola juu? dola 4000 na 1.3 tsh taslimu za nini zote hizi wakati kuna mabenk kibao?...huyu asema ukweli kuwa pale alkuwa anafanya biashara ya madini na ameuza meningine na mengine ndo hayo yameibiwa.....
huwezi kuwa na Ak 47 na bastola juu eti unalinda laptop mbili na dola 4000...hii kitu haipo...huyu alikuwa na madini huyu......
nasema alikuwa sebuleni anafanya shuguli zake .....hahahha..huu ni uongo..