Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje sisi?

Mbaya zaidi dola 4,000/= anaita vijihela eti vya matumizi madogomadogo
 
haipendezi kabisa,viongoz wetu wanaish kama wapo peponi angal wananch wakiwa kwenye lindi la umaskini mkubwa,inatia aibu sana hata kwa wahisani(donors),viongoz wa aina hii hawafai kabisa
 
Anatumia pesa yake, tumwache , pia Kama dola 4000 ni bilion kwako c kwa wote
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tembea uone mambo wewe umeishia hapio dar kila kitu unakishangaa. Unashangaa chumba cha dola 250? Mbona humshangai ndesambulo kumiliki helkopta? Au kwa vile. Siyo CCM? Mawazo finyu kiongozi hawezi kuwa kama wewe mchoma mkaa
 
Huyu naibu waziri alikuwa anaongea kwa nyodo dola 4000 ni vijihela nilitamani nika mzabe vibao kwani kiasi hicho cha hela ni kipato changu cha miaka 3 achani jamani nisije nikaharibu keyboard yangu kwa hasira
 
Du! Room $ 250 ni issue nayo? Tena Suite?

Sitetei mafisadi ila kwa mtu msafiri anayejua rates za mahotel $ 250 per day kwa Suite is like so cheap.
 
Tembea uone mambo wewe umeishia hapio dar kila kitu unakishangaa. Unashangaa chumba cha dola 250? Mbona humshangai ndesambulo kumiliki helkopta? Au kwa vile. Siyo CCM? Mawazo finyu kiongozi hawezi kuwa kama wewe mchoma mkaa

Ndesamburo hatumii kodi za walala hoi, anatumia jasho lako. Mbali na helkopta ana mahoteli na makampuni ya kitalii. Sasa huyu Adam Malima anajifanya yuko ziarani kikazi kumbe anajivinjari na totoz, bora wamemwibia
 
Halafu hapohapo anaibiwa nguo na kila kitu kupitia dirishani kwenye hoteli hiyohiyo ya kifahari, angelala uswahilini angeibiwa hadi yeye mwenyewe
Hajaibiwa kupitia dirishani wewe,
Changu alieingia nae ndio kamkomba.
Kwa nchi za wenzetu hii ni kashfa kubwa sana, pengine hata Anaweza kushtakiwa kwa uzembe.
Maana hata hiyo laptop itakua Na Nyaraka mbalimbali za siri za serikali.
 
awapongeza wote walioshiriki kuhakikisha anaibiwa kila kitu, isipokuwa bunduiki. ni watu wema sana. ikitokea hivi hadi kwa mkuu wa kaya itakuwa imekaa njema, halafu itakuwa inarudisha mitaji kwa wajasilia mali
 
Nampa hongera huyo kijana aliejipatia angalau mgao kidogo wa posho za mheshimiwa!na kama yupo hapa mimi nahitaji hiyo laptop kubwa sio kadogo kwa garama yoyote!
 
Back
Top Bottom