Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

Tembea uone mambo wewe umeishia hapio dar kila kitu unakishangaa. Unashangaa chumba cha dola 250? Mbona humshangai ndesambulo kumiliki helkopta? Au kwa vile. Siyo CCM? Mawazo finyu kiongozi hawezi kuwa kama wewe mchoma mkaa

Ndesamburo ni Mfanyabiashara wa Kimataifa, Malima anaishi kifahari kwa pesa ya walipa kodi!
 
Pete ya mahaba!!!!!!! kwa changu hiyo dili sana ataimarisha biashara zake na kuwapata wengine wenye tabia za malima hiyo pasport kaiflash chooni
 
Hapo hapo chama cha magamba kinapayuka nchi ina amani na imeletwa na magamba yenyewe halafu naibu waziri anatembea na ghala la silaha amani ipo kweli hapo?
 
Tembea uone mambo wewe umeishia hapio dar kila kitu unakishangaa. Unashangaa chumba cha dola 250? Mbona humshangai ndesambulo kumiliki helkopta? Au kwa vile. Siyo CCM? Mawazo finyu kiongozi hawezi kuwa kama wewe mchoma mkaa

Huyo ni kiongozi wa taasisi gani ya umma?
Tofautisha.
 
Theft incident that befell Malima can and in truth does often betide many of us. It is unsurprisingly becoming news simply because it involved him in his capacity as a state's minister. Its ironic of people to keep faultfinding him while some of them have once been the victims of burglars.
 
Kwa jinsi hotel yenyewe ilivyo sina uhakika sana kama chumba kinaweza kufikia laki 4
 
We Ndo ***** kweli, kuna hotel mpaka ya million 3 per night in Tanzania. Ulizia Andbeyond Mnemba Zanzibar or Andbeyond crater lodge Ndo utaelewa, Itakua umezoe vijiguest vya buku na honey moon wewe utaenda hotel ya buku 10,000 ( remember no research no right to speak)

sidhani kama kuna hotel ya lk 4 Tanzania hii umesikia vibaya!
 
Tembea uone mambo wewe umeishia hapio dar kila kitu unakishangaa. Unashangaa chumba cha dola 250? Mbona humshangai ndesambulo kumiliki helkopta? Au kwa vile. Siyo CCM? Mawazo finyu kiongozi hawezi kuwa kama wewe mchoma mkaa

Uhitaji kua na elimu ya darasa la saba kutofautisha matumizi ya Ndesamburo na Malima,Ndesamburo ni mfanyabiashara asiyetumia kodi ya wananchi kuendesha mambo yake,hata akitumia $100,000 kwa siku ni sahihi,lakini matumizi ya Malima au kiongozi yeyote wa serikali yana uhalali wa kuhojiwa na wananchi,maana ni kodi yao!mfano wako ni irrelevant kabisa!
 
Well.. subirini tu kwani alikuwa anafanyia kazi dili gani na wawekezaji? Mojawapo ya wizara nyeti sana katika nchi ni hiyo ya Nishati na Madini.. well badala ya kuchukulia ni 'wizi wa kawaida' mwitikko wa vyombo vyetu ungekuwa "to err on the side of caution' kwamba what if this was targeted theft..
 
Dola 250 kwa hoteli kubwa ni pesa ya kawaida sema wabongo tukijiangalia hali zetu alafu tukiitafsiri hiyo pay ndo tunaanza kuongea sasa.
Je alikuwa kaenda kikazi au mapumziko?
 
hapa umeongea point ya maana sana

Point gani aliyo ongea ipo?kama hela inaruhusu wakati hela anayotumia ni ya serikali na serikali yenyewe haina pesa?kumbuka Malima alikua Morogoro kwenye ziara ya kiserikali na si binafsi!jaribu kua na hekima ili kuficha upumbavu!
 
Dola 250 kwa hoteli kubwa ni pesa ya kawaida sema wabongo tukijiangalia hali zetu alafu tukiitafsiri hiyo pay ndo tunaanza kuongea sasa.
Je alikuwa kaenda kikazi au mapumziko?

Alikua ktk ziara ya kiserikali
 
nasema alikuwa sebuleni anafanya shuguli zake .....hahahha..huu ni uongo..


ukiwa sebuleni unafanya shughuli zako maana yake lazima utakuwa na laptop, pete utakuwa hujavua, silaha itakuwa karibu simu zitakuwa pembeni hapo ...nampa changamoto aseme pale sebuleni alikuwa anafanya nini?.je aliwaonyesha waandishi makabrasha aliyokuwa anafanyia kazi?..huyu aseme tu kuwa kalizwa na dada poa wa kahumba...majibu yake hayajitoshelezi..huwezi kuwa sebuleni halafu vitendea kazi viko chumbani halafu unadai pale sebuleni ulikiwa unafanya shughuli zako....

anaongopa ili kujitetea kwa watanzania wamuone kuwa ameibiwa na wezi.........

pale morogoro pale Ak-47 ya nini pale na bastola juu? dola 4000 na 1.3 tsh taslimu za nini zote hizi wakati kuna mabenk kibao?...huyu asema ukweli kuwa pale alkuwa anafanya biashara ya madini na ameuza meningine na mengine ndo hayo yameibiwa.....

huwezi kuwa na Ak 47 na bastola juu eti unalinda laptop mbili na dola 4000...hii kitu haipo...huyu alikuwa na madini huyu......


vipo vingi zaidi nyuma ya pazia.
 
Ndugu wachangiaji, Mkimsema Malima naona kama mnamuonea. Hivi hamjiulizi kwa nini viongozi wanapenda
kufanyia mikutano Arusha?
Hakuna chumba chini ya 350,000 vinavyo wafaa ambavyo wanapenda kufikia nikimaanisha 220$ karibuni Arusha
upaone Kibo Palace, Ngurdoto Mountain, Mount Meru View, Snow Crest, Arusha Hotel, Impala Hotel . Huku ndiko
wanakoshukia viongozi wetu ulizia presidential Suite utapewa bei yake mbona hiyo 400,0000 ni ya kawaida.
Huu ndio mfumo, kawaida ukiingia inabidi uendane nao hawezi kulala hotel ya 50,000 wakati wenzake wote wanalala bei ya
ya chini 250$
 
Du! Room $ 250 ni issue nayo? Tena Suite?

Sitetei mafisadi ila kwa mtu msafiri anayejua rates za mahotel $ 250 per day kwa Suite is like so cheap.

In private or public expenditure????

Mkuu kwa hali ya mama mjamzito kwenda na gloves hospitalini?????
 
Back
Top Bottom