Makongoro Nyerere dhidi ya Mapacha watatu (RACHEL)

Naona yuko mwitongo anajilewea gongo tu maana alif=danganyika na JK kuwa atakuwa Rais akavimba bichwaaa
 
hapana mako hakudanganywa aliombwa kufanyakazi hiyo kuplay part ya baba yake,nani anabisha kwamba mako hakumuwakilisha baba yake ipasavyo?
 
Makongoro ulisaidia sana kuyumba kwa hawa jamaa make wote walijikuta wakipotea maboya kwa kukutageti wewe na wasijue siasa ina njia zake kama mpira uwanjani
Heko Mako.
 
Waheshiwa Makongoro na Nape hawa ndy majasiri wanapaswa kuvikwa nishani walijitoa muhanga maisha yao kwa ajili ya wanyonge mungu awabaliki Tuko pamoja katika vita vya kupinga ufisadi.
 
Mako alimbwaga Kinana katika ubunge Arusha. Kwa hiyo kulikuwa hakuna uwezekano wa kupitishwa katika chama cha Kinana. Mitaani,baadhi ya watu wanasema Kikwete alikuwa anampigia debe Membe,ndio ikasababisha hasira ya wajumbe kumpigia kura Magufuli. Huku mitaani Musoma,watu wanaongea hayo tu,''Magufuli,Lowassa,...''.
 
Uraisi umepita kushoto :D
 
Back
Top Bottom