Andrew Nyerere ni hazina ya Taifa, tuitumie

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,125
22,614
Salaam,Shalom!!

Nimekuwa mfuatiliaji wa mada nyingi anazoandika Mtoto wa Mwalimu, Ndugu Andrew Nyerere. Kuelewa anachokiandika au kukisema, unahitaji akili ya ziada kutafuta Maarifa ya kufungua codes za kauli na maandishi yake.

Ndugu Andrew Nyerere, aliitumia Siku yake ya kuadhimisha Kuzaliwa Kwa chama chake CCM Kwa kushiriki mkutano wa maandalizi ya Maandamano ya CHADEMA jijini Arusha.

Akiwa katika mkutano Ule, alijitambulisha kama mwanachama wa CCM, hapo hapo akaunga mkono harakati za CHADEMA kuwa ni watu wazuri, lakini pia akaongea mambo ambayo, kuyafafanua na kupata maana, yakuhitaji uwe na akili za ziada.

Kwa kuwa ndugu Lema na CHADEMA, Wana akili za ziada, walifurahia sana ujio wa kada huyu wa CCM na kukiri kuwa mkutano wao umebarikiwa Kwa ujio wa kada huyu mzito asiyependa sana majukwaa ya kisiasa.

Itoshe kusema, Nchi yetu Bado Ina hazina kubwa ya watu Supper intelligent aina ya Andrew Nyerere.TUWATUMIE.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Mungu ibariki CHADEMA.

Mungu Mbariki ndugu Andrew Nyerere.

Karibuni🙏
 
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA .

Mungu ibariki CHADEMA.

Mungu Mbariki ndugu Andrew Nyerere.

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kama ndugu yake makongoro!
Wakati mwingine namuona makongoro kama sio mtoto wa mwalimu!
 
.
 
Pale mtumwa anapopanda farasi ilhali mwana wa mfalme akitembea Kwa mguu.

This isn't fair.
 
Back
Top Bottom