Rais Samia amkabidhi Makongoro Nyerere tuzo ya Mwl. Julius Nyerere

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa Mwakilishi wa Familia ya Mwalimu Makongoro Nyerere wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.

20230710_165300.jpg
 
Back
Top Bottom