Makongoro Nyerere dhidi ya Mapacha watatu (RACHEL)

Makongoro ikiendelea kutoatoa hewa chafu tutayasema madhambi ya Baba yake, ikiwemo ya umbea na sijui kama ni umbea kuwa baba yake alimuua Moringe Sokoine, na ufisadi mwingine mwingi, asije mkosesha baba yake jina la ubaba wa Taifa, yeye mlevi mbwa.
Hapa wewe umetumia haja kubwa kufikiri badala ya ubongo
 
.....Nadhani kumkandia makongoro kwa ajili ya ulevi wake ni kuingilia maisha yake binafsi......hii haiondoi ukweli kua Makongoro kwa sasa ni hazina muhimu ndani ya chama alichoasisi baba yake..na kati ya watu wachache wenye uwezo wa kumwambia yeyote ukweli.....kwani haogopi repercution za kukosa ulaji au cheo ..kwani wao wamelelewa maisha ya kawaida na kama anavyosema mwenyewe ..yeye kwake ni kwa wananchi wa kawaida......ambako rostam hafiki...

Going back to him personally ..na hata wakuu wanaomfahamu hapa ....makongoro wa zamani tangu enzi akiwa Captain wa jeshi na Instructor wa Artilery pale TMA ...then akawa upinzani..na kurudi ccm baada ya baba yake kufariki...amebadilika sana ..na ule utundu na ulevi aliyokuwa nayo yamepungua...hasa baada ya kutoka masomoni Ulaya alikoenda mara tu baada ya msiba wa baba yake ....alipokaa takribani miaka miwili....wengine wanasema pia alipata muda wa kufanya shahada ya uwamili huko....

Ukiachilia mbali kasoro chache ...he can take even big role in party or national ..level...unlike rafiki yake Uhuru na Kina Amani ....yeye baba yao hakuwahi kuwabeba kibwebwe kuingia serikalini au kwenye siasa....
 
- Mkuu sana hakuna anayekataa kwamba Makongoro ni mwananchi na kwa sasa ni mmoja wa viongozi wa ngazi ya chini kitaifa wa CCM, HOWEVER; kuwa mtoto wa Mwalimu haimfanyi kuwa na uwezo flani wa ajabu sana mpaka kumuweka kwenye level ya baba yake kama unavyojaribu kufanya sasa hivi, ni athari sana kwa siasa za taifa kujaribu kumtukuza mwananchi kwa sababu ya uwezo wa uongozi wa baba yake, no! kila mwananchi aonyeshe uwezo wake binafsi wa uongozi!

- Sikubaliani na wale wanaojaribu kumkandia kuhusu maisha yake binafsi, hapana lakini at the same token siamini kwamba kwa sababu yeye ni mtoto wa Mwalimu, basi ana uwezo flani wa ajabu wa kumfanya kuwa na nguvu flani ndani ya CCM na kuweza kuamua anything for the party, hapana na pia kuyakumbatia mawazo yako kuna hatari sana ya huyu bwana kutumiwa na makundi flani ndani ya siasa zetu katika kupitisha agenda mbovu kwa taifa, Makongoro ni Makongoro, na aheshimiwe kama nafasi yake aliyonayo kiuongozi, lakini ya kumtukuza beyond his position ni hatari sana kwa siasa za taifa, kama Makongoro is that great kama baba yake basi agombee nafasi kubwa za taifa na kuweza kuongoza akiwa kwenye hizo nafasi, haya ndio tunayoyakataa sasa ndani ya CCM na ndio kujivua gambas kwenyewe,

- yaani mbunge anakua na nguvu almost sawa na Rais eti kwa sababu anafahamiana na Rais, au in this case ni mtoto wa Mwalimu, hatuwezi kujivua gambas na this kind of ideas!

- Heshima Yako Sana Mkuu Wangu! ila kujivua gambas sio siasa za kuoneana huruma kwa the expense of wananchi and the nation!

FMeS!
 
FMES,
Makongoro si mbunge. Ni mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mara. Sidhani Philemon amejaribu kum-elevate kufikia level ya baba yake. Hapana.
Alichosema Philemon, na mimi nakubaliana naye, ni kwamba Makongoro ni mtu asiyeona aibu kusema ukweli. Kwa kutumia usemi wetu, anapenda kumkoma nyani giladi. Amefanya hivyo kwa Lowassa, tena mbele yake kwenye kikao, na alifanya hivyo hivyo wakati akina Makamba walipokuja na njama za kumwondoa Sitta kwenye chama. Makongoro ndiye aliyezungumza mwisho akamwambia Kikwete kuwa huwezi kumfukuza mchezaji wa timu wakati mechi haijamalizika. Huyo ndiye Makongoro ninayemfahamu. Huwezi kumlinganisha na baba yake na najua hata mwenyewe hataki kulinganishwa. Lakini he is carving his own niche in his own way.
 
- Jasusi ninajua kwamba Makongoro ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mara, na si kweli kwamba Lowassa hajawahi kuambiwa ukweli na viongozi wengine uso kwa uso, ameambiwa mara nyingi lakini haikuwa na effect kwa sababu Rais alikuwa baso anasua sua, this time ilikuwa ni political manouvers.

- Otherwise, I know Makongoro he is no joke lakini hata na yeye sio msafi sana, however anao uwezo wa kusema ukweli bila kumuogopa mtu, sawa je is that the only skill a good leader should have? I mean siasa za mafisadi they are too complicated, kumalizwa na Makongoro na bado hazijaisha!

- Lakini ni kweli kama Makongoro stays clean anaweza kufika mbaali!

FMEs!
 
niliwahi sema hapa kwa leadership kikwete anaweza kuonekana very weak..

but kwenye siasa,hasa hizi za kitanzania...he is the best politician.......

now watu wanaona.....
 
niliwahi sema hapa kwa leadership kikwete anaweza kuonekana very weak..

but kwenye siasa,hasa hizi za kitanzania...he is the best politician.......

now watu wanaona.....

Lakini si ndo huyu huyu JK, aliwanyoosha mikono mbele ya wananchi na kuwanadi kwamba ni watu makini wachaguliwe?. Kama anawajua vyema kwamba ni bomu kwa nini awauzie wananchi watu bomu?. mimi ninadhani Pressure za ndani ya nchi, pressure za Chadema na asasi za kijamii, pamoja na wananchi ndo zimemfanya mkulu achukue hatua hizi. kwani mchezo wa EPA walicheza hawa mafisadi peke yao?
 
Tatizo la Kikwete ni kwamba hayuko pro-active. Haoni mbali. Ukiona jinsi alivyowakampeinia hawa mapacha watatu wakati wa uchaguzi wa Oktoba usingeweza kufikiria kuwa a mere six months later atawakana na kuwatosa. Nakumbuka katika safari yake ya pili hapa Marekani kuna dada mmoja, ambaye wazazi wake waliondolewa kwenye shamba lao ili "wawekezaji" wachimbe dhahabu, alipomwuliza Kikwete alimjibu "afadhali wachimbe dhahabu kuliko kulima. Na mtu huyu huyu anakuja miaka michache baadaye na kilimo kwanza. Unajiuliza, ni lini alipotambua umuhimu wa kilimo? And the list goes on and on.
 
Makongoro ikiendelea kutoatoa hewa chafu tutayasema madhambi ya Baba yake, ikiwemo ya umbea na sijui kama ni umbea kuwa baba yake alimuua Moringe Sokoine, na ufisadi mwingine mwingi, asije mkosesha baba yake jina la ubaba wa Taifa, yeye mlevi mbwa.

Ndiyo tatizo la JF imekaribisha hata vijitu vinavyotumia makalio kufikiri. Ningekuwa na uwezo kijitu kama hiki ningekinyongelea mbali. Sijui hizi habari za Nyerere za kumwua Sokoine uliziokota wapi!! mpumbavu na mjinga kabisa.
 
Butiama mkulu alikuwa occupied sana na muafaka wa Zanzibar, lakini there is one thing he did kule bila makelele wala watu wengi ku-notice, alimuondoa Rostam kwenye uweka hazina wa CCM bila kumfahamisha mapema...Nildokezewa hii na mkuu mmoja aliyekua amekaa next to Rostam...
Double check with your sources and jog your memory.

Rostam Aziz aliondolewa uweka hazina wa chama November 2007. Mkutano wa Muafaka Butiama ulifanyika March 2008. Kwa hiyo Kikwete hakumuondoa Rostam Butiama.

Makongoro ..is carving his own niche in his own way.
ni kweli kama Makongoro stays clean anaweza kufika mbaali!

Dakika 15 za umaarufu wa Makongoro zilishapita.

Mwenyekiti wa chama Mkoa na Mbunge ya Taifa yupi yuko mbele? Makongoro alishakuwa Mbunge, sasa hivi kashuka kwenye vyama mikoani, kwa hiyo habari ya anaweza kufika mbali ni wishful illusion.
 
Mimi naona kama wanawatoa kafara mapacha watatu ili chama kiendelee na ufisadi zaidi, hivi RACHEL ndio mafisadi pekee ndani ya CCM? na yule wa quality au yeye hayuko CCM? naamini wapo wengi sana kuliko wanavyotangaza.

Solution ya CCM kujisafisha ni kufa na kuzaliwa upya
 
Huu ni uoga tu ambao sioni ccm makini wale serekali makini...

Kama kweli hawa ni mafisadi kwa nini siku 90??? Mbona bashe hakupewa siku 90 kuondoka ccm???

Msekwa kweli kawataja ila kwa nini siku 90!! Wawaite na watoe hizo barua na wawafukuze..

Najua wanaogopa kuwafukuza kwani jamaa wamewapiga tafu sana kwenye uchaguzi wa 2005 na 2010...

Ushauri wangu kwa watanzania ni kwamba sisi tuendelee na mchakato wa katiba mpya hayo yote yatajitenga yenyewe..
 
[/B]
Unafikiri kufa mchezo? Yesu mwenyewe mwishomwisho nusu akate tamaa mpaka kinjiwa kikaja kumpa moyo. CCM kuinuka labda ibomoke yote nzimanzima then izaliwe upya na jina la ubatizo jipya

Naomba mistari ya Injili ambayo inasema hayo uliyoandika kwenye red hapo juu. Je, una maanisha Matthew 27: 46; Mark 15: 34; Luke 23: 46; and John 19: 28, 30?
 
- Jasusi Butiama mkulu alikuwa occupied sana na muafaka wa Zanzibar, lakini there is one thing he did kule bila makelele wala watu wengi ku-notice, alimuondoa Rostam kwenye uweka hazina wa CCM bila kumfahamisha mapema, tayari alishaweka msingi kuanzia pale, inasadikwia since then jamaa hajawahi kuwa na access naye tena!, it is just politics, alikuwa anasubiri the right time awatose na sasa sio siri anawatosa, sasa hivi utasikia Rostam amekimbia nchi! Watch!

- Nildokezewa hii na mkuu mmoja aliyekua amekaa next to Rostam, anasema jamaa alihaha haijawahi kutokea, kwa kutoamini, muungwana is very good at political games, hakuna mtu yoyote wa kuwatoa wale mapacha isipokuwa ni yeye tu, sasa tizama alivyoifanya ionekane ni Makongoro!, kama alivyoifanya kule ionekane ni Mwakyembe, sasa uliza aliyemrudisha ubunge Mwakyembe ni nani? Ndio utaelewa hizi siasa za taifa sio mchezo!

- Kosa kubwa walilokosea mafisadi na they are paying for na kuelekea mwisho wao, ni pale waalipomtoa six kwenye U-Spika kwa kuwatumia Wa-Zanzibari, ndipo walipoanza kujipigilia misumari ya mwishoni kwenye jeneza lao, I mean understand hizi National politiics lini umewahi kuwasikia Wapinzani wakiwalalamikia hawa mapacha? au Mkapa? WHY?

FMEs!

Here is one of the accesses...October 2010

images
 
Ni sawa tunampongeza kwani hilo!lakini namlaumu kwa unafiki,kwa JK na Ridhiwani sio mafisadi?kwa nini nao hakuwataja?
 
niliwahi sema hapa kwa leadership kikwete anaweza kuonekana very weak..

but kwenye siasa,hasa hizi za kitanzania...he is the best politician.......

now watu wanaona.....

Kuna ambacho kweli watu wana/wameona! Sidhani lakini huo ni mtazamo tu na kila mtu ana wakwake, isipokuwa simple survey mahali popote watu walipokusanyika na kujadili siasa za nchi yetu wengi wao hawaridhishwi naye, wachache wanamatarajio ambayo bado hayajatimia sasa sijui ni kwavipi wananchi wameona kuwa ni best politician in our country?
 
Inasemekani ndiye pekee aliyekuwa na ujasiri wa kuwataja kwa majina huku akimueleza kila mmoja ni kwa nini anahitajika kukaa pembeni.Makongoro Nyerere kwa macho maangavu alikumbushia enzi za baba yake kwa kuwataja kwa majina watuhumiwa wa Ufisadi pasipo kumung'unya maneno ndani ya NEC.

Makongoro ametimiza wajibu wake na NEC kuonyesha kumuunga mkono na pengine wengine kwenda mbali kwa kusema ni LAZIMA wapishe.Macho ya Watanzania yako kwa CCM kuona utekelezaji wake.Alicho tufunulia Nape ni kuonyesha ni kwa jinsi gani mipango ya kuwatetea hawa mapacha watatu iko mbeleni haya ni dhahiri yameanza kujitokeza kwani ukitizama makala nzima ya Padri Privatus Karugendo imelenga kukichanganya Chama Cha Mapinduzi kwa maana hata wakiondoka hao mapacha watatu bado chama hakiwezi kurudisha imani zaidi ya kufa tu.

Huu ni wakati wa CCM kuthibitisha kuwa chama ni zaidi ya mtu,kama kweli hawa so called mafisadi wananguvu kubwa ndani ya chama basi CCM itambue kweli Mwisho wake umefika.Vile vile tutabaini NEC ni zao la nani kati ya waliomo na wanaotakiwa kutoka.

Hofu kwa Kikwete na uswahiba wa hawa mafisadi sioni kama inatija kwani katika siasa mara nyingi wanaofarakiana na kutengana ni wale waliokuwa marafiki (Mseven/Besigye),(Nyrere/Kambona) n.k.Mengi yameanza kuzungumzwa ooooh Lowasa ana nguvu,hivi tangu lini mwizi akawa na nguvu mikononi mwa Askari.Wote wanaomtetea Lowasa etal wanadhihirisha unafiki wao na wasiotakia taifa hili mema.Ifikie mahala LOWASA,AZIZ na CHENGE waseme CCM sio mama yangu wala baba yangu.Wanang'ang'ania humo kuna nini?

Sote tumuunge mkono Makongoro Nyerere aliyediriki kuwataja na kila mmoja kumuelezea kwa nini anapaswa kukaa kando.Tutambue kuwa shutuma za Wananchi katika Chama zinatosha kumuondoa Mwanachama (huku hakuna sheria ya ushahidi).CCM isiogope kufa kwa sababu ya hawa mafisadi na kama uhai wa chama unategemea hawa mafisadi basi itakuwa imekufa kishujaa.

Hapa umenena. Tatizo la wengi wetu ni kutokuwa na dhamira ya kweli ya kupambana na ufisadi bali ni kuleta majibu mepesi katika haja ngumu. Kila mtu alikuwa nawapigia kele kuhusu hawa jamaa, sasa wamefanyiwa kweli watu wanaanza kubeza hata ile juhudi iliyofanyika. Wengine kama vyombo vya habari vya ITV na Radio one badala kuendeleza mapambano venyewe mradi RA,EL na Vijisenti wametoswa wao kwao ufisadi umekwisha hata habari za magazeti kama Tanzania daima marangine wanazikwepa Mzee keshapata alichokuwa anakitaka. Ninachotaka kuweka wazi hapa wengi wa wanaojidai kupinga ufisadi wanafanya hivyo kwa maslahi binafsi kwa kuangaliani nani anazuia makate wangu si kwa maslai ya Watanzania kwa mfano Makongoro katoa hoja ambayo kwa mtu mwenye dhamira ya kweli angeiunga mkaono lakini wapi ni ulevi tuu wa kuchumia tumbo.
 
Shida moja aliyonayo Makongoro ni kumtegemea kwa kila kitu Mh Nimrod Mkono. Hata hiyo nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa wa Mara kafadhiliwa na huyu jamaa ambaye naye hatazimiki vizuri kwa wengi. Na hii sio shida ya Makongoro peke yake. Kwa CCM ya sasa mtu safi kabisa hawezi tena kuwa kiongozi.
 
Back
Top Bottom