Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,478
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali.
Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro ameshauri siku ya kifo Cha baba yake ibaki kwa kumbukizi ya kifo Cha Mwl Nyerere tu na sio kuchanganywa na mambo ya serikali.
Lengo la serikali kuzima mwenge kila tarehe 14 October ni kuashiria kuzima kwa nyota ya Taifa Mwl Nyerere ambaye aliasisi mwenge huo.