Afadhali sasa ufanye kazi za wananchi wote maana mwezi mzima ulikuwa unahangaika na bwana alietobolewa macho na scorpion ... Kila siku ki guu na njia kwenye ofc za Clouds utafikiri muajiriwa wa pale...!!
Hivi idadi ya machinga wote ni kiasi gani ...tukijua hili itatusaidia na tunaweza kuwaomba watu wazuri kama GSM akawaweka kwenye shopping malls zake wakachangamsha biashara huko!
Hakufaaaiii mimo nilienda 2month ago nikasema sirudi .ingawa nina shida kweli ya kwenda kkoo...hakuna pa kupita kuanzia mlangoni mwa geti la stand ya mwendo kasi...mpk msimbazi..unapita yanakopita magari ukigongwa juu yako...service road biashara tupu...kongo ndio balaaaNasikia mtaa wa Congo hakufai, sijaendaga kitambo pale ngoja weekend hii niende nikajionee kwa macho tena sikuhizi kuna Mwendokasi kuanzia Moroco nitaupanda huo.
Mwenyekiti CCM JF
Nasikia wamerudi, nimeambiwa na watu kama wanne hiviHaya ......si waliondoka mbona wamerudi tena.