Hako kaneno kenye red unakapenda sana...unakuwa unamaanisha nini? Just msaada ili jamvi lisiniache nyuma sana.
Halikusinzia ila lilikuwa linaongea pumba tu.Hivi wasira hakusinzia kweli?maana hili pumbavu kwa kusinzia halijambo.
katika list ya wajinga nchii hii wasira ni nambari 2...
'Aliiendeleza nchi kiitikadi lakini kiuchumi na maendeleo ya kaya alituachia ufukara wa kufuru, kiasi cha watu kufikia hatua hata kukosa sababu ya kuogea ama kufulia, na anayeonekana kavaa kaniki ama nguo za rangi ya kuchovya - tie- and dye alionekana ni kibopa.Anasema Nyerere alikuwa na madaraka makubwa na alipenda madaraka hayo ili kuendeleza nchi,si kama viongozi wa sasa wana madaraka makubwa na wanayatumia vibaya