Tundu Lisu: Muswada wa sheria ya Katiba Mpya ni lazima upelekwe bungeni kwenye kikao cha Bunge kinachokuja vinginevyo tumeshachelewa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kama kweli tunahitaji Katiba Mpya itumike katika chaguzi za 2024 na 2025 basi Muswada wa sheria ya Katiba Mpya ni lazima upelekwe bungeni kwenye kikao kinachokuja cha Bunge

Vinginevyo Tutakuwa Nje ya muda, amesema Lisu

Source Star tv
 
Mama Samia hebu lichukulie hili suala la KATIBa MPYA NA ILIYO BORA kwa UMAKINI mkubwa,kwani itakuletea heshima kubwa ,pia itawarahisishia kazi wewe mwenyewe pamoja na maRais watakaofuata..
Mf itakupunguzia hii teua tengua hata maDCs na DEDs wa Namanyere huko,maana naamini kwa KATiBA MPYA hawa DCs tutawachagua na DEDs watakuwa waingia mikataba na Halmashauri husika
 
Tunataka sembe siyo Katiba Mpya ebo!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kama kweli tunahitaji Katiba Mpya itumike katika chaguzi za 2024 na 2025 basi Muswada wa sheria ya Katiba Mpya ni lazima upelekwe bungeni kwenye kikao kinachokuja cha Bunge

Vinginevyo Tutakuwa Nje ya muda, amesema Lisu

Source Star tv
Mzenji kanogewa na madaraka ya kulevya, anaogopa kufanyika uchaguzi huru
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kama kweli tunahitaji Katiba Mpya itumike katika chaguzi za 2024 na 2025 basi Muswada wa sheria ya Katiba Mpya ni lazima upelekwe bungeni kwenye kikao kinachokuja cha Bunge

Vinginevyo Tutakuwa Nje ya muda, amesema Lisu

Source Star tv
Kama kayasema hayo Tundu Lissu, ni njia ya kistaarabu kuwaambia CHADEMA na waTanzania wengine wote kwamba swala la Katiba Mpya, kama lilivyopigiwa kelele nyingi sana huko siku za nyuma, kinara wa kelele hizo akiwa CHADEMA, kwa hali iliyopo sasa baada ya mazungumzo ya maridhiano, CHADEMA hawana moto tena juu ya swala hilo.

Yeye Lissu hawezi kulishikia bango swala hilo, pamoja na kwamba ni Makamu Mwenyekiti wa chama.

hapa anakumbushia tu, watu wajue ukweli.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kama kweli tunahitaji Katiba Mpya itumike katika chaguzi za 2024 na 2025 basi Muswada wa sheria ya Katiba Mpya ni lazima upelekwe bungeni kwenye kikao kinachokuja cha Bunge

Vinginevyo Tutakuwa Nje ya muda, amesema Lisu

Source Star tv
Rais Samia nancheza na akili za wapinzani tu. Hana nia kabisa ya kuleta katiba mpya.

Na kama akileta katiba mpya itakuwa mbovu kuliko ya sasa
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kama kweli tunahitaji Katiba Mpya itumike katika chaguzi za 2024 na 2025 basi Muswada wa sheria ya Katiba Mpya ni lazima upelekwe bungeni kwenye kikao kinachokuja cha Bunge

Vinginevyo Tutakuwa Nje ya muda, amesema Lisu

Source Star tv
Sheria mara ngapi? Si sheria ilipitishwa enzi ya jk chadema walipoona hawapati katiba wanataka ya serikali tatu wakaingia mitini? Chadema wasifikiri hawashindi uchaguzi kutokana na katiba. Wao sio chaguo la wananchi kwa sasa. Labda wanataka katiba ya kuzuia ccm isigombee uchaguzi. Kwa mfano kiwekwe kifungu '..chama kikishinda mara mbili mfululizo hakiruhusisi kugombea tena' 🤣
 
Sheria ya JK ilishaexpire!
 
Kiukweli uchaguzi 2025 sikuuona ukifanyika,

Wenye mamlaka wanatakiwa wawe na pressure kuliko hata WAPINZANI na wananchi Kwa ujumla.

KATIBA mpya ni sasa.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom