Makamu mkuu wa SAUT na Wassira ndani ya Star tv wakijadili muswada wa sheria ya Katiba

leo nilikuwa niwape kitu kamili lakini bahati mbaya tanesco wamekata umeme gafla.utasema walijua kama nipo naupdate jf.hii hali inakela sana.kwisha habari yangu.mia
 
hapa Wasira kanichekesha kasema Kikwete hatateua wajumbe watakaohusika kwny katiba kwa kuenda Msoga kuwaita wakwere wenzake
 
Mkosamali anasema waliwashauri kwenye kamati kwamba hata kama Rais atateua majina basi yapelekwe bungeni kuthibitishwa lakini wakakataa,
 
umeme umerudi.mkosamali anasema rais ndo anawatengenezea sekretarieti,bunge la katiba anatengeneza yeye na kuchagua wajumbe 116,hii kitu itamfanya achague wanaccm wengi.mia
 
kule ccm hawa wao wameshaguundua makosa na wanaona aibu kuuondoa huo mswaada eti kisa wabunge wao wataonekana kudharauliwa maana wameshajadili....huyo wasira hana lolote kichwani anapoteza mda tu
 
Dk .Kitima anasema inabidi wawasikilize watanzania na amemwambia amsikilize Mkosamali aone alivyoiva kwani anchangia pointi,anasema Tanzzania inabid ijifunze kutoka kwa South Africa
 
kule ccm hawa wao wameshaguundua makosa na wanaona aibu kuuondoa huo mswaada eti kisa wabunge wao wataonekana kudharauliwa maana wameshajadili....huyo wasira hana lolote kichwani anapoteza mda tu
Wanahofu reaction ya wabunge waliokuwa wanatokwa mapovu kumkandia Tundu Lissu ili waonekane wazalendo halafu leo hii uwaambie muswada umeahirishwa! Wanahisi watakuwa wameivimbisha CDM kichwa, ngoja tuone hitimisho lake.
 
Hivi mzee Wassira education background yake iko vipi wadau?
Mwishoe utauliza ya Lema, masuala haya hayahitaji PHD bali uelewa mdogo tu. Kwani wananchi tunaolilia watoe maoni yao wana elimu gani wengi? Suala ni maslahi ya taifa ambayo viongozi wajinga wa CCM wanajifanya hawayaoni wakati yapo wazi.
 
Dk .Kitima anasema inabidi wawasikilize watanzania na amemwambia amsikilize Mkosamali aone alivyoiva kwani anchangia pointi,anasema Tanzzania inabid ijifunze kutoka kwa South Africa

wasira ana kiburi sana na dharau kubwa...
 
Mkosamali anamalizia kwa kusema vyama vlivyotoka vina nia nzuri kwani wanahitaji katiba iwe ya watanzania
 
Wanahofu reaction ya wabunge waliokuwa wanatokwa mapovu kumkandia Tundu Lissu ili waonekane wazalendo halafu leo hii uwaambie muswada umeahirishwa! Wanahisi watakuwa wameivimbisha CDM kichwa, ngoja tuone hitimisho lake.

Ndiyo kawaida ya wajinga, mjinga anaweza akakutukana sana akidhani utamjibu ili ufanane naye lakini usipomjibu anakuwa kumbe anamwonesha kila mtu ujinga wake. Hicho ndicho kisa cha wabunge wa CCM na Kamanda Tundu Lissu
 
dr.kitima anasema,kipindi nyerere anadai uhuru kutoka kwa waingereza alisema;tunawadai uhuru wetu wakikataa tutaenda umoja wa mataifa wakikataa tuturudi tumlilie Mungu.amesema Tanzania inabidi waige mfumo wa Katiba za africa kusini na Ghana.ghana sasa hivi inaongonzwa na upinzani.kamwambia wasira kwamba "mkiendeleza hizi tabia za kung'ang'ania madaraka,mtayaachia kwa damu na hii dhambi itahesabiwa juu yenu.kipindi ndo kinaisha.alieendesha kipindi ni anjero moreka na paul mabuga.mia
 
walicho sema CDM ni kuwa ndani ya siku 100 mchakato wa katiba utakuwa umeanza na siyo katiba itakuwa tayari Mzee atunze kumbukumbu vizuri
 
dr.kitima anasema,kipindi nyerere anadai uhuru kutoka kwa waingereza alisema;tunawadai uhuru wetu wakikataa tutaenda umoja wa mataifa wakikataa tuturudi tumlilie Mungu.amesema Tanzania inabidi waige mfumo wa Katiba za africa kusini na Ghana.ghana sasa hivi inaongonzwa na upinzani.kamwambia wasira kwamba "mkiendeleza hizi tabia za kung'ang'ania madaraka,mtayaachia kwa damu na hii dhambi itahesabiwa juu yenu.kipindi ndo kinaisha.alieendesha kipindi ni anjelo moreka na paul mabuga.mia
 
Dr Kitima amemwambia Wassira waige mfumo uliotumika South Africa na Ghana ktk kuandaa katiba otherwise damu itakayomwagika itakua ni kwaajili yao na wao pia damu zao zitamwagwa.Hadi Mtangazaji kamwambia maneno yako makali saana.
 
Mwishoe utauliza ya Lema, masuala haya hayahitaji PHD bali uelewa mdogo tu. Kwani wananchi tunaolilia watoe maoni yao wana elimu gani wengi? Suala ni maslahi ya taifa ambayo viongozi wajinga wa CCM wanajifanya hawayaoni wakati yapo wazi.
uko sahihi kabisa mdau,ila mabadiliko ya kweli yapo karibuni,na hao viongozi wajinga watahukumiwa na mabadiliko hayo
 
Back
Top Bottom