Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 312
Being in Uk does not mean u know each and every thing.
take off your non sense
take off your non sense
Owino sio mtanzania ndio maana hana uchungu na wananchi, mtu kuja? Akili finyu sana huyo, wabunge wa chadema msibabaishwe na kijitu kama hicho, halina mwelekeo wala akili timamu
dondosha tone la maji kwenye kisima kilichotulia uone mawimbi yake yanavyotapakaa.
My take, read between the lines you will understand. There are more things than you may thought "have a break, have a kit kat"
He sound like a GAY to me:becky::becky::becky:
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO
CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.
Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.
Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.
Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.
Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.
Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.
Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.
Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...
Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.
MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)
Nawashukuru CHADEMA kwa changamoto yao katika siasa, maana kwa kufanya hivyo wamefungua hoja nyingi za watu zinazoonyesha ufahamu wao wa demokrasia. Inaelekea watu wengi, kama huyu mtoa maoni, haelewi mchakato mzima wa demokrasia unakwendaje. Watu wengi bado wanatawaliwa na fikra za udikteta wa chama kimoja, kutukuza viongozi na utamaduni wa 'ndio mzee'. Nina hakika wakati utafika ambapo sote tutakuwa tunaielewa na kuitekeleza demokrasia halisi kwa maendeleo ya nchi yetu na wananchi wote kwa ujumla.
Ps. Maandishi mekundu ni hoja zake tata ambazo angezitolea ufafanuzi.
Mkuu nilitaka nikungongee Thanks zaidi ya mbili imeshindikana! huwezi ukasajiliwa na ccm ukawasaidie mkuu sababu usajili wao ni wavilaza tuu!Hivi bunge lisiloleta maendeleo kwa wananchi lina utukufu gani? bunge ambalo linaketi kama kikao cha CCM au kikao cha walevi wasiotaka kupingwa, hata kwa hoja?
Hivi ni mara ngapi tunashuhudia bunge likiwa tupu kabisa au likiwa na wabunge wanaouchapa usingizi baada ya kazi nzito ya kutumbua maraha usiku at an expense of our kodiz?
Then fools like Maina hawaoni hili wanakuja kuturembulia macho humu na posts zao zisizo na kichwa wala miguu..pheeeuw.
we dont need watu kama hawa tena nigefurahi sana kama huyu mtu (whatever she is) angehamia kabisa huko huko UK na asirudi kwanza kura hakupiga... Na mimi kama mtanzania niliopiga kura na kuwatuma Chadema bungeni ninaunga mkono kwa walichofanya..... Pili sijui kama huyu dada ni ignorant au anajifanya chizi, Chadema haitagomea Bunge iligomea Hotuba ya mtu ambayo inaamini kuwa uchaguzi wake haukuwa halali therefore evertime huyu bwana akihutubia jamaa hawamsikiliza and for that nawaunga mkono...... We dada i will be very happy kama utachukua uraia wa hukohuko i think we need less people like you here