Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

Jamani achaneni nae Huyo jamaa huyo ametumwa na moja wa chichiemu UK anakula kodi za watanzanita visa imenukaka. Amechanganyikiwa
 
Wewe Owino usitufanye sisi wajinga.Ulitaka wafanye nini?? Walichokifanya wabunge wa CHADEMA ni sahihi kwani wametukana mtu? Yaani wewe na kukaa ulaya bado akili ina umande?? kazi ipo kweli kweli. Muwe mnafikiria kabla hajaandika sio unakurupuka tu halafu unatuletea pumba fis.........wewe. Kwanza ulipiga kura au unaongea tu kutoa pumzi ch............. message sent.
 
Huyu jamaa ''bado anaishi jana'', halafu mtupu mno! Naona hata kiswahili kinampiga chenga
 
She's ignorant of the current home politics, a buffoon, boot licker and a court jester of the Sultanate of Kikwete and doesn't even qualify for a post of a ten cell leader, no wonder she failed to qualify in CCM's preliminary votes.
God bless this political prostitute.
 
ni katibu mkuu wa zamani wa darusa pale mlimani.

Kumbukumbu zinaonyesha ya kwamba alisaliti sana wanafunzi wenziye pale na wengi kufukuzwa chuo miaka hiyo kwa kupanwa kichwani na u-ccm.
president eng maimu, rais aliyekuja baada ya kifaa mh kitila mkumbo, ndiye alikua bosi wake. Matatizo ya vyumba bwenini kupigwa mnada usiseme. Baada ya hapo, alitoka moja kwa moja chuoni na kwenda kugombea ubunge kwao huko.

huyu bwana, mpinzani wake jimboni mara mara huko alikua ni mzee prof sarungi ambaye inasemekana ilibidi amuweke kwenye pipa aruke huko maughaibuni kusaka elimu zaidi. Japo aliahidiwa na huyu mfadhili wake kwamba kwa jinsi uzee unavyomnyemelea kwa kasi mno, akampishe tu kwa wakati huo na baadaye atarajie kupigwa tafu kuukwa ubunge sijui wa jimbo gani vile.

Kwa mara ya mwisho alisemekana kuchakachuliwa kwenye uteuzi na badala yake kulipwa scholarship aruke nayo kwa mama thatcher. Labda baada ya kuosha sana macho huko kwa wenzetu huenda kabadilika, huwezi kujua ...

Hivyo kauli yake hiyo hapo juu, kwa wanaomfahamu vema, wala isingekua vema zaidi ya hapo.

it is a payback period. prof sarungi !!! Haya makapi ya ccm! Dichuo erokamano!!
 
who the hell is maina a kikuyu or a luo? Mr omera this is tanzania wewe endeleea kunywa chang'aa afterall you didn't vote so leave us alone she..........z type.

mr omera, yes. Jibu unalo hapa. Ni watanzania wangapi hawakupiga kura siku ya uchaguzi 31/10/2010? Idadi unaijua. Wengi hawakupiga kura na sababu unazijua mwenyewe. Labda wewe/wazazi/ndugu zako wakiwa mmojawapo
 
Jamani CCM walijiandaa kwa kufungua matawi ya chama huko nje. Haya ni matunda ya kazi waliyoifanya huko nyuma ila tujue gharama zake ni kubwa kwani hao wote wanaachiwa fedha ili kupiga hizo propaganda......
Tuyaache ili tujadili mambo ya maana!!!
CHADEMA OYEE!!
Hakuna kulala mpaka kieleweke.... JK hana safari za nje... akienda ni kutibiwa tu na kurudi.
 
she's ignorant of the current home politics, a buffoon, boot licker and a court jester of the sultanate of kikwete and doesn't even qualify for a post of a ten cell leader, no wonder she failed to qualify in ccm's preliminary votes.
God bless this political prostitute.

ni jaluo halisi aliyekwenda jan...d......o
 
Thanks Maina, tumekusiki kwamba upo Uk na ni wa CCM... unfortunately you might think you are important... well, not at all

we dont care kama ni wa UK au ukeni, we wouldnt bother kama ni jaluo la kenya au Tz and most important those who know you have said it all

I advice that you consider youself very lucky and blessed
 
kama ni statement basi wabunge wa chadema washa make statement kubwa saana tena.. ila nafkiri vikao vijavyo wasitoke nnje ya bunge kwa wananchi hawawajawatuma kwa kazi hiyo. wakati wao wakiwa nje kule ndani kunaweza kukafywa maamuzi ya upande mmoja ambayo yawaathiri wananchi waliowatuma katika majimbo yetu. hii statement moja inatosha mlioifanya hadi ikatangwazwa katika vyombo vya habari vya kimataifa inatosha. ni wakati wa kazi sasa tumikieni wananchi wenu majimboni
 
thanks maina, tumekusiki kwamba upo uk na ni wa ccm... Unfortunately you might think you are important... Well, not at all

we dont care kama ni wa uk au ukeni, we would bother kama ni jaluo la kenya au tz and most important those who know you have said it all

i advice that you consider youself very lucky and blessed

thank you and i like your profile signature.
 
kama ni statement basi wabunge wa chadema washa make statement kubwa saana tena.. Ila nafkiri vikao vijavyo wasitoke nnje ya bunge kwa wananchi hawawajawatuma kwa kazi hiyo. Wakati wao wakiwa nje kule ndani kunaweza kukafywa maamuzi ya upande mmoja ambayo yawaathiri wananchi waliowatuma katika majimbo yetu. Hii statement moja inatosha mlioifanya hadi ikatangwazwa katika vyombo vya habari vya kimataifa inatosha. Ni wakati wa kazi sasa tumikieni wananchi wenu majimboni

"now you are talking" kula tano mkuu
 
she's ignorant of the current home politics, a buffoon, boot licker and a court jester of the sultanate of kikwete and doesn't even qualify for a post of a ten cell leader, no wonder she failed to qualify in ccm's preliminary votes.
God bless this political prostitute.

tell us something we don't know!! Umekuja kwa jazba!
 
Prof._Lipumba_(left)_and_Seif_Shariff_Hamad_(right)_in_their_victory_press_conference_after_the_by-elections,_19_May_2003,_Chake_Chake_town,_Pemba,_Tanzania.JPG
 
thanks maina, tumekusiki kwamba upo uk na ni wa ccm... Unfortunately you might think you are important... Well, not at all

we dont care kama ni wa uk au ukeni, we wouldnt bother kama ni jaluo la kenya au tz and most important those who know you have said it all

i advice that you consider youself very lucky and blessed

"yes i am very lucky and blessed" everyone says that when they see me in the gents.
 

THE PICTURE TELLS THE STORY BUT IT DIFFERENT NOW

4k.JPG


3.jpg


http://1.bp.blogspot.com/_stxylFr6jLM/TOUqRSPEf1I/AAAAAAAA1R8/HiVHDoLQ2Ig/s1600/1j.J

[B][SIZE="4"][COLOR="#2e8b57"][B][B]
"BUT THINGS HAVE CHANGED NOW"[/B][/B][/COLOR][/SIZE][/B]
 
Another crap from UK...ndio maana kuna matawi ya CCM huko sijui yanawasaidia nini zaidi ya kupoteza wakati. Hata kupiga kura hamuwezi mnakaa kujipendekeza kwa wapenda ufisadi. Kuna watu wamezoea maisha ya kunyenyekea wezi wa haki za watu, Ni utumwa wa kiakili na woga usio kipimo. Mabadiliko hayawezi kuja kwa kubembelezana tuu. Hao CUF nao wanaiona leo CHADEMA inafanya vibaya walikuwa wa kwanza kuja na sera za jino kwa jino na ndizo hizo zimewapatia muafaka , eti leo nao wanajifanya wana busara za kuishauri CHADEMA.. CHADEMA haiendeshwi kwa kufuata fulani alifanya nini zamani. Kama ni kufuata wengine hakukuwa na haja ya kuwa na CHADEMA. CHADEMA sio chama cha vihiyo wakurupuke tuu. Hii mineno yote ya watu kama hawa na akina Chiligati inaonyesha ujumbe umefika kisawasawa na sasa watu wanajisikia vibaya kufanya wizi. Moto umeshawaka na utaendelea kuwaka. Kuchakachua mnaona sawa , watu wakiondoka kwa amani mnaona mbaya!
 
mtachonga sana. Chadema wamechemsha kususia ufunguzi wa mhimili wa serikali. Siasa za kutafuta masifa zimepitwa na wakati.
Ukisusa wenzio wala. Kazi ipo mpaka mueleweke. Eti ni chama cha Democracy. Ironic name. Watanzania kama walijua vile. To take power of the country will take years. Tumejua kumbe Marando ni mtaalum wa kupotosha Chama. Eti walikaa kujadili kama kisheria kuna Efect yoyote. Wakasahau effect kwa watanzani. Devil Pary Chadema. God is great kutuepusha na utoto huu.
 
Back
Top Bottom