Nilitahadharisha kuhusu CHADEMA na Wabunge 19 kuwa hukumu zitakuwa za kutatanisha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,641
109,014
Hivi ule Uzi wangu GENTAMYCINE niliouandika hapa JamiiForums mapema mwaka huu hamkuuelewa au ni Jeuri na Dharau zenu tu?

Nilisema kuwa CHADEMA na Watu wengine acheni Kuhangaika na hii Kesi ya hawa Wabunge wenu Waasi 19 kwani hakuna ambacho Kitabadilika na wataendelea kuwa Wabunge hadi June 2025.

Hivi mna Akili kweli nyie? Yaani Serikali na Bunge linatumia uwepo Wao Wabunge hao ( akina Halima Mdee ) ili kuonyesha Jumuiya za Kimataifa kuwa Tanzania kuna Demokrasia ya Kweli ili Mama yenu aaminike na apate Pesa zao za Misaada halafu nyie mnataka Wasiwepo?

Niliwaambia kitakachofanyika katika hiyo Kesi yenu nao ni Hukumu za Kutatanisha kutolewa na Mahakimu na mkikata Rufaa kitakachofanywa ni Kesi hiyo ya Rufaa kupigwa Kalenda ya kati ya Miezi Sita hadi hata Mwaka ili mradi tu wafike / waende nao hadi June 2025 wakati Bunge la JMT litakapovunjwa rasmi kujiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2925.

CHADEMA ina maana Siku hizi hamna Watu wenye Akili Kubwa ambao walitakiwa walijue hili, waachane nalo na Wajikite zaidi Kukiimarisha Chama chenu ambacho kwa sasa Kimefifia Kiumaarufu na kimeshapoteza hata Dira ya Kiushindani ya Kisera na Kisiasa nchini?

Endeleeni tu Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila mngekuwa mnasikia Ushauri wangu Kwenu wa mara kwa mara hapa nina uhakika wa 100% kuwa hivi sasa mngekuwa mbali mno Kisiasa na Kidemokrasia.

Achaneni na hiyo Kesi ili mjijenge Ok?
 
Genta;
Huoni kwamba kesi hii imekusaidia kujua Aina mbalimbali za Madunduka ysliyojazwa mahakamani huku yalipwa hela za bure kama mishahara?
Wasingefungua kesi hii ungejuaje kwamba nahakamani kuna mahakimu Filimbi ikipigwa Kizimkazi, Bagamoyo wanakata viuno?
Kama isingefunguliwa, lini ungejua Kuna mjinga mahakamani anawaona Watanzania wengine ni wapumbavu hawajui lolote isipokuwa yeye Msomi wa Sheria?
Wasingefungua ungejuaje kuna Bumunda linatudanganya kuna Chama Tanzania Kamati Kuu si sehemu ya Halmashauri Kuu?
Kesi hii ni mwendelezo wa ufunuo wa Uzuzu wa Mahakama nchini(Judicial Ignorance) ambapo Kwa makusudi Mhimili umeamua kujitagazia Uzuzu wa makusudi katika nashauri ambayo Bwana zào Wana interest nayo.
Kaa Kwa kutulia, kama ulidhani umeona yote basi elewa hujaona mengi.
 
Mkuu Bila Bila
Usemacho Hakina Ubishi Ila Ndiyo Ukweli Wa Hovyo Tunawaangalia Hawa Wanasheria Wanaosema Akitoka Mungu Wanafutia Ni Wao

Nchi Imepata Aibu Mpaka Wasomi Kwenye Mhimili Wa Bunge, Mahakama
 
Hivi ule Uzi wangu GENTAMYCINE niliouandika hapa JamiiForums mapema mwaka huu hamkuuelewa au ni Jeuri na Dharau zenu tu?

Nilisema kuwa CHADEMA na Watu wengine acheni Kuhangaika na hii Kesi ya hawa Wabunge wenu Waasi 19 kwani hakuna ambacho Kitabadilika na wataendelea kuwa Wabunge hadi June 2025.

Hivi mna Akili kweli nyie? Yaani Serikali na Bunge linatumia uwepo Wao Wabunge hao ( akina Halima Mdee ) ili kuonyesha Jumuiya za Kimataifa kuwa Tanzania kuna Demokrasia ya Kweli ili Mama yenu aaminike na apate Pesa zao za Misaada halafu nyie mnataka Wasiwepo?

Niliwaambia kitakachofanyika katika hiyo Kesi yenu nao ni Hukumu za Kutatanisha kutolewa na Mahakimu na mkikata Rufaa kitakachofanywa ni Kesi hiyo ya Rufaa kupigwa Kalenda ya kati ya Miezi Sita hadi hata Mwaka ili mradi tu wafike / waende nao hadi June 2025 wakati Bunge la JMT litakapovunjwa rasmi kujiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2925.

CHADEMA ina maana Siku hizi hamna Watu wenye Akili Kubwa ambao walitakiwa walijue hili, waachane nalo na Wajikite zaidi Kukiimarisha Chama chenu ambacho kwa sasa Kimefifia Kiumaarufu na kimeshapoteza hata Dira ya Kiushindani ya Kisera na Kisiasa nchini?

Endeleeni tu Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila mngekuwa mnasikia Ushauri wangu Kwenu wa mara kwa mara hapa nina uhakika wa 100% kuwa hivi sasa mngekuwa mbali mno Kisiasa na Kidemokrasia.

Achaneni na hiyo Kesi ili mjijenge Ok?
Kwani Chadema ndiyo walifungua kesi au ni hao covid 19?
 
Endeleeni tu Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila mngekuwa mnasikia Ushauri wangu Kwenu wa mara kwa ma🤣ra hapa nina uhakika wa 100% kuwa hivi sasa mngekuwa mbali mno Kisiasa na Kidemokrasia.

Achaneni na hiyo Kesi ili mjijenge Ok?
Sio jambo la kushangaza hata chichiem ni utata mtupu🤣
 
..mataifa mbalimbali yana MABALOZI wao hapa Tanzania hivyo hatuwezi kuwahadaa kuhusu demokrasia, uchaguzi, na namna wakina Halima walivyoingizwa bungeni.

..pia Chadema hawakufungua kesi dhidi ya kina Halima. Chadema walikuwa wadaiwa ktk kesi iliyofunguliwa na Halima na wenzake.
 
Hivi ule Uzi wangu GENTAMYCINE niliouandika hapa JamiiForums mapema mwaka huu hamkuuelewa au ni Jeuri na Dharau zenu tu?

Nilisema kuwa CHADEMA na Watu wengine acheni Kuhangaika na hii Kesi ya hawa Wabunge wenu Waasi 19 kwani hakuna ambacho Kitabadilika na wataendelea kuwa Wabunge hadi June 2025.

Hivi mna Akili kweli nyie? Yaani Serikali na Bunge linatumia uwepo Wao Wabunge hao ( akina Halima Mdee ) ili kuonyesha Jumuiya za Kimataifa kuwa Tanzania kuna Demokrasia ya Kweli ili Mama yenu aaminike na apate Pesa zao za Misaada halafu nyie mnataka Wasiwepo?

Niliwaambia kitakachofanyika katika hiyo Kesi yenu nao ni Hukumu za Kutatanisha kutolewa na Mahakimu na mkikata Rufaa kitakachofanywa ni Kesi hiyo ya Rufaa kupigwa Kalenda ya kati ya Miezi Sita hadi hata Mwaka ili mradi tu wafike / waende nao hadi June 2025 wakati Bunge la JMT litakapovunjwa rasmi kujiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2925.

CHADEMA ina maana Siku hizi hamna Watu wenye Akili Kubwa ambao walitakiwa walijue hili, waachane nalo na Wajikite zaidi Kukiimarisha Chama chenu ambacho kwa sasa Kimefifia Kiumaarufu na kimeshapoteza hata Dira ya Kiushindani ya Kisera na Kisiasa nchini?

Endeleeni tu Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila mngekuwa mnasikia Ushauri wangu Kwenu wa mara kwa mara hapa nina uhakika wa 100% kuwa hivi sasa mngekuwa mbali mno Kisiasa na Kidemokrasia.

Achaneni na hiyo Kesi ili mjijenge Ok?
Asante sana mkuu kwa kutufunua kuwa Chadema hakuna anayejua sheria zaidi yako, safi sana garasa.
 
Nimecheka kwa nguvu, yaani maaumizi ya mauzauza ya mahakama dhidi ya wapinzani hapa nchini nayo ni jambo la kubashiri? Ni sawa na kubashiri kuwa mwezi April kutakuwa na mvua!
 
Back
Top Bottom