Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 3,839
- 3,085
He sound like a GAY to me:becky::becky::becky:
Huko mbali na ukweli.....
He sound like a GAY to me:becky::becky::becky:
hivi maino ni kiumbe gani mpaka tamko lake lipewe 'habari'!!!! Watanzania kwa porojo, sina hamu!!!
He is one of the most corrupt DARUSO fisadis. Him and his cronies Maimu and Mafuru introduced the cult of selling rooms at UDSM, of course their chaperone being Mrs/Ms bali
\tarehe thu nov 18, 09:28:00 pm, mtoa maoni: Maina ang'iela owino
chadema mtindo huu wa siasa za shangwe umepitwa na wakati hasa ktk taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.
Hii ni kushiriki demokrasia isiyo na nidhamu hasa kwa watanzania waliowatuma kuwawakilisha bungeni.
Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye kodi zenu.
Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali itikadi ya vyama, sikutegemea hata wewe zitto, halima mdee,mnyika na vincent nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na rais kikwete kwa kuondika nje ya bunge lao tukufu.hii ni haki yenye aibu.
Siamini kama mlimshirikisha mhe. Mabere marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya bunge wakati linafunguliwa rasmi.haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.
Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.
Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa serikali ya chama kilicho madarakani.
Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai uhuru. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...
Halima mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.
Maina ang'iela owino.
(source:michuzi blogspot)
mtachonga sana. Chadema wamechemsha kususia ufunguzi wa mhimili wa serikali. Siasa za kutafuta masifa zimepitwa na wakati.
Ukisusa wenzio wala. Kazi ipo mpaka mueleweke. Eti ni chama cha Democracy. Ironic name. Watanzania kama walijua vile. To take power of the country will take years. Tumejua kumbe Marando ni mtaalum wa kupotosha Chama. Eti walikaa kujadili kama kisheria kuna Efect yoyote. Wakasahau effect kwa watanzani. Devil Pary Chadema. God is great kutuepusha na utoto huu.
Kwanza sisi hatupangiwi mambo yetu na wakimbizi maina owino nimkimbizi.Who the hell is Maina Owino and why should we care what he thinks?
Who the hell is Maina Owino and why should we care what he thinks?
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO
CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.
Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.
Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.
Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.
Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.
Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.
Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.
Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...
Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.
MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)
Pole Zuhura kwa hili! Huna jipya la kudiscuss jukwaani bora ukae kimya ka mie! Kama kutoka kwa Chadema hakuna athari ya nini mnalalama? Si mwende zenu mkawatetee wana ccm wenzenu kwenye bunge la ccm, na accomplice wenu CUF na wengineo? Nawasifu Chadema hawakupoteza muda kusikiza maneno yale yale kila siku except venue na date. Full stopkazi ipo. chadema finished.
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO
CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.
Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.
Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.
Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.
Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.
Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.
Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.
Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...
Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.
MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)
kazi ipo. chadema finished.