Mahojiano yangu na JamboLeo

Hivi kupitisha miswaada na sheria za Ruzuku na Madini Bungeni ndiyo ajenda waliyokupa Wapiga kura wa Kigoma Kaskazini hadi uchukulie kama mafaniko makubwa ya ubunge wako hailiwiadi sasa? Siyo tu Miswaada na Sheria haviliwi, kwa Tanzania ni kama kazi bure kwani hakuna anayefuata au kuheshimu haswa vikiwa kwenye "abstract level" kwa mtu wa kawaida kama ishu za Madini na Ruzuku. Watu tungekuelewa kama ungetaja kliniki ngapi, madarasa mangapi, mabomba ya maji na visima vingapi, barabara kilomita ngapi, nk umefanikisha tangu uwe Mbunge.

Ibara ya 63 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inataja kazi za mbunge na hizo ulizozitaja hazimo kabisa. Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotaka mbunge kuja kuchimba visima, kujenga barabara, kujenga madarasa, na vitu vingine mnajua kazi za mihimili mitatu?
 
Nini matarajio yako ya baadaye?

Ninatamani kuwa mwalimu wa chuo kikuu, kufundisha, kutafiti na kuandika vitabu. Nitakapoacha siasa, hii ndio kazi ambayo ningependa kufanya. Kufundisha.

-------------------------------------------------

Nawaomba radhi tena kwa kuweka hii interview. Nadhani ni muhimu wakati huu. Naelewa kuna Zitto sana, mniwie radhi kwa hili langu mwenyewe!

aaah bwana Zitto kumbe unampango wa kuachana na siasa inakuwaje hapo wakati watu wanategemea miaka 15-20 ijayo ugombee Urais wa jamhuri ?
 
Mhe. Zitto shukrani kwa kuweka hii kitu, kwangu mimi inanionyesha msimamo wako hasa ktk wakati huu ambao nina(tuna) shaka na kinachoendelea ndani ya chadema. Siyo siri tutamchukia mtu yeyote anayejitokeza toka ndani ya chadema au CUF kufanya jitihada za kudhoofisha chama. By the way nina-speculate upo mbali na chama, watch your steps we love you na tunataka ufanikiwe.

Nimeidaka hiyo ya Mtaji wa mwanasiasa ni imani ambayo watu wanayo juu yake. Wanasiasa wangezingatia hili, wangekuwa waadilifu.
 
Nadhani kuna propaganda hapa inachezwa kuwaaminisha watu kumbe sivyo.

Siyo wabunge wote wa CCM walitumia pesa ya KAGODA. Juzi Mpiganaji Mwakyembe aliuliza, anataka kujua Richmond na KAGODA ni nani??

Ni vizuri kuwatendea haki wale wanaCCM ambao hawakuhusika.
 
aaah bwana Zitto kumbe unampango wa kuachana na siasa inakuwaje hapo wakati watu wanategemea miaka 15-20 ijayo ugombee Urais wa jamhuri ?

Do you trust politicians? Mzee Kaunda alisema hatogombea tena...baadaye akageuka nimeombwa na chama nisimame........Kibaki alisema atakaa term moja....mifano mingi.....achana na wasiasa! Mzee Msekwa alisema anapumzika usipika baadaye nimeombwa nigombee hahahahahah ukiwa mwanasiasa uongo lazima uwe karibu nao.
 
Nadhani kuna propaganda hapa inachezwa kuwaaminisha watu kumbe sivyo.

Siyo wabunge wote wa CCM walitumia pesa ya KAGODA. Juzi Mpiganaji Mwakyembe aliuliza, anataka kujua Richmond na KAGODA ni nani??

Ni vizuri kuwatendea haki wale wanaCCM ambao hawakuhusika.

Mzee kuna kitu kinaitwa 'generalization'

That said, "If the only tool you have is a hammer, you tend to see every problem as a nail." Abraham Maslow
 
Zitto kasema akiachana na SIASA atapenda kufundisha, sina uhakika kama kuwa rais ni nje ya siasa!
 
Naipenda siasa sana, ila sipendi wana siasa, zaidi ya kuwa opportunisty ni egoist wa kufa mtu, ni wachache sana dunia ya leo wako pale kwa ajili ya watu na sio familia yake. Kila kiongozi angependa kuwa kiongozi wa life time kama Uganda na Cuba. Wanapenda kurithishana madaraka kuficha uozo wao kama ilivyo Africa.

Kwako Mh. Zitto naimani kidogo na wewe amua kulitumikia hili taifa kwa moyo wako wote kama ni utajiri ulioko nao unakutosha kama ni marafiki ulioko nao wanakutosha. Epuka sifa za kijinga kwa vijana wa mjini huku unaangusha taifa la Mungu. Insipire more people to be the true leader of this rotten nation. Ni hayo tu Muhesimiwa.
 
The maximum amount of posts on this page can display has been reached. Posts will now start to disappear from oldest to newest.

HII maana yake nini? nimekutana nayo wakati nasoma hii post.
 
Nadhani kuna propaganda hapa inachezwa kuwaaminisha watu kumbe sivyo.

Siyo wabunge wote wa CCM walitumia pesa ya KAGODA. Juzi Mpiganaji Mwakyembe aliuliza, anataka kujua Richmond na KAGODA ni nani??

Ni vizuri kuwatendea haki wale wanaCCM ambao hawakuhusika.

Siamini kama Mwakyembe aliuliza Swali kama hilo, ila kama aliuza then nina mashaka na Kichwa cheke, maana ni yeye aliye Chair Kamati ya Kuchunguza Richmond na Akaja na Ripoti sasa anataka nani ajibu hilo Swali! Kama Hajui Richmond ni nani basi mimi na wewe hatuwezi jua.
 
Hili la wazee wa chama, naona Chadema wamekopi moja kwa moja toka CCM, Hicho chama kina wazee wa chama kweli? Au kina waanzilishi wa chama?
 
Siamini kama Mwakyembe aliuliza Swali kama hilo, ila kama aliuza then nina mashaka na Kichwa cheke, maana ni yeye aliye Chair Kamati ya Kuchunguza Richmond na Akaja na Ripoti sasa anataka nani ajibu hilo Swali! Kama Hajui Richmond ni nani basi mimi na wewe hatuwezi jua.
Labda alikuwa ananena kwa lugha
 
Mkuu Zitto nimesoma mahojiano yako na naamini kwa asimia zaidi ya 50 umejibu vyema.

Najua kwa hakika CHADEMA ina maadui ndani na nje ya chama, kuna watu ( Naamini ni kikundi kimoja) ambacho kijafanya kiko upande wa Zitto na kutoa uongo au taarifa mbaya dhidi ya viongozi wenzako utakaokufanya uamini kwamba Viongozi wenzako wanakuwinda, kikundi hichohicho kwa kificho kinajifanya kiko upande wa Viongozi wengine na kutoa taarifa mbaya dhidi yako ili ukosane na Viongozi wenzako. This is divide and rule
 
- Sio kweli.

- Nimesema sana kuhusu EPA na nimetoa nyaraka nyingi sana kuhusu EPA kwa watu na viongozi wenzangu wanaosema pia kuhusu EPA. Kwangu mimi KAGODA ni CCM kama chama na sio mtu mmoja ambao tumeaminishwa. Nimsema hapa JF toka mwaka 2008, kwamba KAGODA ni CCM! executors wa plan ni suala lingine. Nikutonye tu, i met Balali. I spoke to Balali before he died. If we want to address KAGODA once and for all we have to tackle it holistically. Wabunge wote wa CCM walipata fedha za KAGODA kwenye kampeni zao. I asked for a special audit of CCM campaign funds by CAG to CCM denial. However, i made ammendment to Political Parties bill on party finances and for the future CAG will have the power to audit books of accounts of political parties.

Kwamba sisemi kuhusu EPA ni uongo mtupu. Sio tu nimesema bali nimekuwa source ya nyaraka confidential kuhusu Wizi huu mkubwa sana kuwahi kutokea katika Taifa letu.

Ninaendelea kusema na kutafiti zaidi kuhusu MEREMETA na nimeorder special audit kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge on MEREMETA.

Rostam Aziz? What do you want me say about him?

- I better don't respond to this.

- This as well. Sina majibu

Naamini nimekujibu ndugu yangu

Mimi sichoki kukumbusha I I ... Mimi mimi.. sema bunge limipitsha mswada jamani ....... si watu walipiga kura au ?..........

However, i made ammendment to Political Parties bill on party finances and for the future CAG will have the power to audit books of accounts of political parties.

na nimeorder special audit kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge on MEREMETA.
 
Mkuu, i get your point, umimi ni adui wa kwanza wa mwanadamu kwenye jamii no matter how good or great the person is!!!
 
Mimi swali langu moja muheshimiwa Zitto, kwenye viongozi wanaokuvutia umemtaja Rais Kikwete anakuvutia halafu kwenye swali la viongozi unaowachukia ukaenda kutoa description ambazo zinafanana kama sio sawa na uongozi wa Kikwete; swali ni je umemtaja raisi Kikwete kama kiongozi mmoja wapo anayekuvutia kumfurahisha tu au unaamisha ulichosema?
 
Mimi sichoki kukumbusha I I ... Mimi mimi.. sema bunge limipitsha mswada jamani ....... si watu walipiga kura au ?..........

However, i made ammendment to Political Parties bill on party finances and for the future CAG will have the power to audit books of accounts of political parties.

na nimeorder special audit kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge on MEREMETA.

Yale maswali yaliulizwa kwake personally,

akijibu ki-ujumla how can he be assessed?

mkuu acheni hizo, huu wivu unawasaidia nini? unapindisha maada kwa makusudi kabisa.

I, I, I..unataka amsemee nani sasa!, kamati ya bunge ilipitisha kwa initiative za nani? bunge ni watu, waacha kila mmoja abebe msalaba wake mwenyewe! unataka awafagilie wabunge wengine wa CCM! siasa bwana

too chep for you, huna ground za kusema hivyo

anazungumza kama kiongozi thats all.

LOL!
 
Back
Top Bottom