Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

Vp anae taka kuanza bliding course,anaweza kusoma kisha ajiunge na ngaz ya cheti
 
Vyuo vya afya vya nursing wanachukua d ya chemistry ,d ya bios na e ya physics huu ni muongozo uliotoka week hii
 
Mwanangu amechaguliwa kwenda tosamaganga kwa Ngazi ya cheti lkn bado sijapata join instaction wala sina contact za chuo , kwa yeyote anaejua anisaidie tafadhali sana !
Namba yangu ya simu ni 0658131333.asanteni wadau
 
Una evidence na ukisemacho au unasema tu!!!!!!

Achana nae mkuu haelewi kitu huyo anatia ya kwake.In fact aliyeanalyse yuko sahihi na huo ndo ukweli hakuna vigezo vingine. certificate ni D ktk masomo 3 yote ya sayansi na diploma angalao C kwa biology na chem,lakn phys/maths hata akiwa na D ni sawa hakuna cha CO wala pharmacy,nursing,dental,tech wote vigezo sawa.
 
jamani mm nna three ya 23 phy-d,chem-c,bios-c,b/maths-c,geo-d, na zngine n D tu mm npo dar nnafanya kaz jeshin naomben msaada mnitajie vyuo vya afya vilivyo dar private/gvment ada ntamudu tu kma dipl/cert ntaanzaa tu mnisaidie jama

kama unafanya kaz jeshin nenda lugalo chuon karibu na hospital ya lugalo.
 
kwasasa hv clinical medicine ina ushindan sana kupata ukiwa na div three ni ngumu sana labda private.me mwenyewe nimeshuhudia chuon kwangu watu wanaochukuliwa niwenye div two only pia mwenyewe ni clinical officer.three nurse unachukuliwa.so mtu inapaswa kumwambia ukwel maana hata hyo certificate kuna watu wanaomba wana div 3.so nw days game gumu sana.nakushaur tafuta chuo chochote cha private kosome certificate ila hakikisha kimesajiliwa.nadhan mpaka hapo umenisoma.
 
Dah mm mwnyew nmemalza 4m6 mwaka 2014 nlapt bios-B,Chem-B,BAM-B,Physcs-D nmechagulw coz y kjnga st.joseph nataka niamie afya eithe dip.ya md au degree y md naomben mnisaidie nifanyeje
 
Jamani nimemaliza f4 mwaka 2013 nimepata div 1 ya 15 nilianza a level mosh technical PCB mwaka jana july ila ilipofika October niliumwa nikashindwa kuendelea mwaka huu nataka ni apply C.O clinical officer KCMC au Machame hospital ila sijui process zao naomben msaada wenu wapendwa. Nina B+ ya (chemia. Bios. Maths) B flat ya physics na English+literature Nina A. Nina C mbili ya History na Geog
 
Naomba msaada kwa anaefahamu vyuo hivi na gharama zake.Ktk course ya clinical officer ngazi ya cheti.Ahsantesana
 
Wakubwa naomba kujulishwa na anaefaham vyuo vizur vya afya coz nimemaliza form 4 2014 na naitaji kujiunga na CHUO vizur ukinitajia jina na mahali kilipo.

Naomben msaada wenu wakuu.
 
Back
Top Bottom