jafari mwijae
Senior Member
- Jan 9, 2014
- 176
- 33
Tukuyu school of nursing+and midwifery
Jamani nimemaliza f4 mwaka 2013 nimepata div 1 ya 15 nilianza a level mosh technical PCB mwaka jana july ila ilipofika October niliumwa nikashindwa kuendelea mwaka huu nataka ni apply C.O clinical officer KCMC au Machame hospital ila sijui process zao naomben msaada wenu wapendwa. Nina B+ ya (chemia. Bios. Maths) B flat ya physics na English+literature Nina A. Nina C mbili ya History na Geog
Wadau Na Mimi Nina PHYSICS 'C
BIOLOGY 'C
CHEMISTRY 'D
ENGLISH 'B
Naweza Soma Diploma Ya Clinical Medicine, Clinical Officer Au Nursing?
Mwisho;
Ni Chuo Gani Kina Ada Nafuu Kwa Vyuo Vya Afya Vya Private?
Nashukuru.
Omba kijana kwa maksi zako utapata,vip mama malisa bado anafundisha biology moshi tech?Jamani nimemaliza f4 mwaka 2013 nimepata div 1 ya 15 nilianza a level mosh technical PCB mwaka jana july ila ilipofika October niliumwa nikashindwa kuendelea mwaka huu nataka ni apply C.O clinical officer KCMC au Machameomba utapa hospital ila sijui process zao naomben msaada wenu wapendwa. Nina B+ ya (chemia. Bios. Maths) B flat ya physics na English+literature Nina A. Nina C mbili ya History na Geog
division four kupata clinical officer ni vigumu,umepataje kwenye physics,chemistry na biology?Jamani naombeni mnisaidie kujua vyuo vya afya hapa Tanzania kwasababu nataka kujiunga na chuo chochote cha afya sector ya clinical officer nina matokeo ya form four....nimepata four.26 .
Je kama una C ya Bio na C ya chemia D ya phy math D na engl D inawezekana kusoma dip?
Taarifa zako ni za kweli,nathibitisha hiloSikukatishi tamaa, lakini kwa vyuo vya gvt ni ngumu labda wende private.
Mimi binafsi nina c kwa masomo yote ya sayans niliomba mwaka uliopita nikakosa. Kuna mwenzangu alikua na kama mimi ila alinizid kwa kuwa na B ya biology aliekwa reserve mpk keshaenda private ndo anapigiwa simu aende
Wanaoomba gvt wanakua weng na kunakua na competition kubwa
kijana unadanganya wenzako.Minimum qualification ni D katika Chemistry, Phyisics, Biology. Iwapo utasoma chuo cha private na wakakubali kukusomesha ukewa na F katika moja ya masomo hayo tatizo litakuja katika kuajiriowa hasa serikalini.
Tanzania hakuna certificate ya clinical officerJf' ina watu watu vituko sana mdogo wangu vumilia matusi hayaruhusiwi najua umekurupuka haujasoma jf' rules, usitukane utapigwa Ban halafu hata shida yako haijatimia.
Kwa matokeo uliyonayo clinical officer ngazi ya cheti private au government unachaguliwa bila wasiwasi we omba kwote kisha ungojee majibu.
Si uhakika kwamba mtu aliyemaliza four 4 anaweza jiunga na chuo kusoma diploma sijawahi ila ufahamu wangu unaonyesha lazima upitie cheti then kwa cheti unarukia diploma na hata degree. Diploma wanaenda four 6 directly wakiwa qualification za kuingia huko.
Karibu jf'
Jaman kama mnayo email ya kibahaCOTC Mni2mie niweze chonga nao
Tanzania hakuna certificate ya clinical officer
Omba kijana kwa maksi zako utapata,vip mama malisa bado anafundisha biology moshi tech?
Ndugu certificate ni clinical assistant na diploma ndio clinical officer,kwenda diploma sio lazima uwr form six.Huwa Hakuna Lakini Wanaosoma Hiyo Wanaitwa
Assistant Clinical Office
Hawa Ndiyo Ngazi Ya Cheti Japo Haitambuliwi Hivyo
Na Aliyemaliza Kidato Cha Sita Anaitwa
Clinical Office
Yaani Anasoma Diploma
bayi namfahamu ana mguu una shida hivi,kumbe mama malisa hayupo,asante kwa taarifaHayupo alishahama now kuna madam flan hivi anaitwa Janeth Bay
LIST IPO CHINI
Baada ya kuona kuna mkanganyiko mkubwa, nimeamua kuwaelewesha wenzangu wanaotaka kusomea mambo ya nursing kwa kozi yoyote ile.
1. CERTIFICATE(Ngazi ya cheti)
Mwombaji awe na D TATU ktk masomo ya sayansi PCB(Physics, Chemistry na Biology)
Hii inajumuisha vyuo vya serikali na binafs(Private)
Km huna sifa hizo USIJARIBU ktk chuo chochote kwan utapotezewa muda
2. DIPLOMA (Stashahada)
Km ni form 4, uwe na C ktk BC(Bios na Chemistry) na D au zaid ya Physics.
NB
Sifa zote za ufaulu ziwe ktk kikao kimoja cha mtihani.
Naamini sasa wale wanaouliza watakuwa na majibu sahihi!
Mungu akipenda nitaweka baadhi ya vyuo vya afya vipatavyo 30 ili kwa wale wenye sifa wachague.
NAWASILISHA!
Achana nae mkuu haelewi kitu huyo anatia ya kwake.In fact aliyeanalyse yuko sahihi na huo ndo ukweli hakuna vigezo vingine. certificate ni D ktk masomo 3 yote ya sayansi na diploma angalao C kwa biology na chem,lakn phys/maths hata akiwa na D ni sawa hakuna cha CO wala pharmacy,nursing,dental,tech wote vigezo sawa.
Hivi kati ya course ya CO,pharmacy na Laboratory?Ipi ina manufaa ??