Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

Mnaoelewa msaidien mdogo wetu,kajitaidi.Pia mmuelekeze hivo vyuo vya private na Government kwa majina ikiwezekana na mahali vilipo.
 
Ka reset mtihani hayo matokeo yako hayafai kumchoma mtu sindano..!!!Labda ng'ombe. Au kasukume chaki Ngumbaru..angghrrr eti Afya...nani kakudanganya,??? Mimi nilianza na Diploma lakin sikucheza miaka minne darasani na kutoka na hicho kiwango chako. Unaaibisha fani yangu.!!!:embarassed2:

Pumbavu ww! Huna lolote mjinga wewe tena mjinga sana yawezakuwa ktk ukoo wenu ww ndopeke yako unaelimu kuzidi wenzako,na ntakutafuta nyau ww hadi nikupate nandoutanieleza vizuri.dah dogo umenikera sana ---- ww yani natamani nikushike nitoe haya majivuno yako maskini wewe.
 
ha ha ha ha ha ha ha! Mkuu naona umepanic au jamaa kagusa penyewe!?
 
Pumbavu ww! Huna lolote mjinga wewe tena mjinga sana yawezakuwa ktk ukoo wenu ww ndopeke yako unaelimu kuzidi wenzako,na ntakutafuta nyau ww hadi nikupate nandoutanieleza vizuri.dah dogo umenikera sana ---- ww yani natamani nikushike nitoe haya majivuno yako maskini wewe.
Sasa nitakusaidiaje wakati ukielekezwa kwamba huko siko unakuja juu,njoo basi nipo hapa,soma basi ID yangu hapo pembeni. WAKURDI...Unajua ni wapi hapo???!! ukitaka nitakuinbox usipate shida kunitafuta. Mi mjinga sawa,kila tusi nipe usijali lakin kaukweli sinabudi kukugaia angalao,maana hata huko kwenye clinical officer kuna kufeli pia sio slope best. Kaza buti ndugu. SAWA TAJIRI YANGUU!!??
 
Dah tatizo ndugu yangu wewe unajiona bora zaidi ya wenzako,sio fresh
 
jamani mm nna three ya 23 phy-d,chem-c,bios-c,b/maths-c,geo-d, na zngine n D tu mm npo dar nnafanya kaz jeshin naomben msaada mnitajie vyuo vya afya vilivyo dar private/gvment ada ntamudu tu kma dipl/cert ntaanzaa tu mnisaidie jama
 
Hapo lugalo wapo wengi waliosoma diploma wanaongeza vyeti vyao waone kwa ushauri zaidi
 
Jamani naombeni mnisaidie kujua vyuo vya afya hapa tanzania kwasababu nataka kujiunga na chuo chochote cha afya sector ya clinical officer nina matokeo ya form four....nimepata four.26 .

Ndungu wasi kupotezee muda wako na kureseat icho kiwango cha daraja ulichonacho kinakutosha sana, labda jiandae kukaa miaka mingi kwenye vitabu make itabidi uanzie level ya chini kabsa.Na hao wanao kudanganya na ugumu wa elimu hii ya afya hachana nao.Make asilimia kubwa ya madaktari bingwa hapa nchini hawana hata hivyo vyeti vyenu vya form 4 na form 6.Fuatria hilo suala hacha kucoment kwa ubishi na matusi
 
jaman naomben mnisaidie kunitajia vyuo vilivyopo dar private nnacredit nying jama nna div3 ya 23 chemC biosC phyD so naomben msaada wenu kaka zang na dada zangu
 
ka reset mtihani hayo matokeo yako hayafai kumchoma mtu sindano..!!!labda ng'ombe. Au kasukume chaki ngumbaru..angghrrr eti afya...nani kakudanganya,??? Mimi nilianza na diploma lakin sikucheza miaka minne darasani na kutoka na hicho kiwango chako. Unaaibisha fani yangu.!!!:embarassed2:
mkuu na wewe weka matokeo yako so unajifanya kuongea na wakati na we n walewale!!!
 
hata kama mtu ana div 4 lakini bios c chem c na phy d english d na math f anaweza omba diploma ya clinical medicine kwa vyuo vya private
 
mkuu kama mtu ana div 4 point 26 lakini bios c chem c na phy d english d na math f anaweza omba diploma ya clinical medicine kwa vyuo vya private
 
mkuu kama mtu ana div 4 point 26 lakini bios c chem c na phy d english d na math f anaweza omba diploma ya clinical medicine kwa vyuo vya private

Cjajua km ni swali au ni maelezo. n y, km ni swali jibu ni NDIYO kwani criteria ni masomo ya sayansi!
 
alafu naomba unitajie vyuo vizuri vya private mkuu.maana government ushindani mwingi maana mwaka jana nilikosa government!
 
Back
Top Bottom