Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

dogo we mjanja ,ukifaulu 2 we chagua dip ya afya, mi mwenzio nimemaliza mwaka 4m4jana nw nipo chuo napiga dip ya optometry
 
Usisahau kuomba na vile vyuo vya afya vya serikali.Uwe unafatilia website ya wizara ya afya kwa update
 
Hilo ni wazo zuri sana kijana.Sio kukimbilia uinjinia tu na kozi nyingine,afu ukimaliza unaanza kujutia
 
Siku hizi ukitaka kununua simu haulizi simu gani nzuri ninunue unangalia kwanza ww una shi ngapi na unataka cm ako iwe na,nn afu ndo unatoka kwenda dukani kununua unaeza tafuta simu nzuri kuliko zote kumbe pesa ako haitoshi.....kama pesa ako inakulusu cm ya 20,000 usiende kulizia cm ya 100,000
 
aiseee babauangu mi sijakuelewa unataka chuo kizuri cha afya ya binadamu au afya ya mifugo na kadhalika
 
Siku hizi ukitaka kununua simu haulizi simu gani nzuri ninunue unangalia kwanza ww una shi ngapi na unataka cm ako iwe na,nn afu ndo unatoka kwenda dukani kununua unaeza tafuta simu nzuri kuliko zote kumbe pesa ako haitoshi.....kama pesa ako inakulusu cm ya 20,000 usiende kulizia cm ya 100,000

sawa sawa nimekupata kiundani zaid shukran kwako
 
Wadau Na Mimi Nina PHYSICS 'C
BIOLOGY 'C
CHEMISTRY 'D
ENGLISH 'B
Naweza Soma Diploma Ya Clinical Medicine, Clinical Officer Au Nursing?
Mwisho;
Ni Chuo Gani Kina Ada Nafuu Kwa Vyuo Vya Afya Vya Private?
Nashukuru.
 
Back
Top Bottom