Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

Sio afya tu na wale wanaotaka kupiga law
uwe umepasua language vilevile na D3 za masomo mengne, ukapige certificate
 
Zote nzuri Ila kwa level ya diploma pharmacy na lab ni nzur zaidi kijasiriamali na hazichagui mazingira kokote unapagiwa kazi, iwe mjini au kijijini! Ila CO Mara nyingi ni kijijini tu na mjini kidogo, kwa level ya Degree CO ni nzuri kuliko zingine zote kama una lengo la kua Doctor.

Nimekupm mkuu
 
Mwanangu amechaguliwa kwenda tosamaganga kwa Ngazi ya cheti lkn bado sijapata join instaction wala sina contact za chuo , kwa yeyote anaejua anisaidie tafadhali sana !
Namba yangu ya simu ni 0658131333.asanteni wadau

Wasiliana na NACTE kwa ukurasa wao wa Facebook huwa wanajibu haraka sana, au kama vp tumia Email
 
jamani naomben kujua vegezo vya kusomea afya maana nilimaliza kidato cha nne 2014 na mategemeo yangu ni kusoma sayansi (PCB) advance lakini nimechaguliwa HGL. So nijuze kama yawezekana kusoma afya na elimu yangu ya kidato cha nne nisiende kusoma HGL. Ahsanteni sana.
 
Ivi katika laboratory technicians nikisoma katika ngazi ya cheti inawezekana Nikafungua laboratory yangu au mpaka diploma
Wadau nijulisheni
 
Kuna chuo cha clinical officers pale kibaha (COTC) Ni kizuri sana kuanzia mazingra ya kujisomea na kila kitu ,ila kinatoa certificate na diploma.
Mkuu kibaha cotc nilazima kukaa hostel au sio lazima pia wana uni form au awana asante
 
Back
Top Bottom